Kwanini watu huwa na tabia ya kuwapinga watu wenye IQ kubwa?

Kagame na museven umeona,wakibinafsisha vitu vyao sisi hadi gesi tumewapa wazungu, hadi bandari waarabu wanayo ila hao hawataki
Ndio kile tunasema they talk without seeing behind the scene
 
Kufaulu darasani sio kuwa na IQ kubwa fuatilia kufaulu ni jitihada binafsi, mbinu na kuwekeza muda kwenye kujifunza
Sawa lkn kuna wengine hata hatuna jitihada sana lkn tunatusua tu
Aya niambie IQ kubwa ni nini
 
Kagame na museven umeona,wakibinafsisha vitu vyao sisi hadi gesi tumewapa wazungu, hadi bandari waarabu wanayo ila hao hawataki
Hawajabinafsisha na hawawezi kuziendeleza pia ndo ishara ya kuwa na IQ ndogo
 
Napenda kutembea kwa miguu,napenda mziki na football,ninasoma siku za mitihani tu! na nnafaulu, hivi hapa kesho asubuhi nina mtihani na sisomi lkn ntaenda kuunyoosha kama pasi ya Phillips.
Na tabia nyinginezo nyingi za kigenius
😂😂😂😂😂😂
Kumbe hata hujui IQ ni nn
Nenda kalime!!!
😂😂😂😂😂😂
 
Kwa kipimo rasmi wewe uko group la IQ ya chini kabisa
Hebu toka huko,unanijua mimi ni mtu maarufu tu hapa Bongo
Na sasa hivi nipo katika kukamilisha chatbot yangu iliyo na ubora mara tano ya chat gpt
 
Sawa lkn kuna wengine hata hatuna jitihada sana lkn tunatusua tu
Aya niambie IQ kubwa ni nini
IQ haihusiani na mambo ya daraani kabisa wala sio kufanikiwa kimaisha yenyewe Ina deal na deep reasoning, problem solving, self displine na mambo mengi 90% ya IQ ya mtu ni genetically inherited 10% ndio hukuzwa na mambo kaba continuous learning, vyakula kama dagaa na samaki, puzzle na magame kama chess na mambo mengine kibao
 
We unapima na nini kama sio low IQ inakusumbua
Mtu hatakiwi kumwambia mtu mwingine ana IQ ndogo. Hamna vithibisho ni kweli Kuna wenye IQ ndogo below 120 lakini huwezi kukadiria IQ ya mtu bils wataalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…