Kwanini watu wa kamera wanaruhusiwa kuhujumu ziara ya Rais Samia?

Kwanini watu wa kamera wanaruhusiwa kuhujumu ziara ya Rais Samia?

Maisha ni magumu awamu hii ya six mpaka wananchi tunatamani kugawana vocha lakini haifai.

Yaani ukiweka vocha ya buku jirani anakugongea hata mia mbili tu ya kudeep lakini ndio haiwezekani.
beep = deep
 
Kwani kukosekana kwa watu mkutanoni kunamuathiri nini, siku hizi kila mtu ana runinga yake mkononi kuna sababu gani kwenda kupigwa baridi kisa kumwona mtu anayepatiikana kwenye runinga!
 
Hivi Magufuli huwa anakutia huko ndotoni,maana haipiti sekunde hujamtaja?
Grow up
Hivi nyie misukule ya mwendazake kwanini mnapenda matusi sana? Halafu matusi yenu yote huhusiana na mambo ya Zinaa kama alivyokua akipenda huo utani yeye mwenyewe KAYAFA why?
 
Mbona anajibu vitu vidogo kama hivyo..

Mengine ni ya kuyapotezea.
Aibu nimeona mimi [emoji20]
 
Mama amesahau strategy za Jiwe za kubeba wanafunzi, malori na ma trecta ya wakulima kwenye mikutano.

Yaani mkutano wa Mbeya mjini anaanda malori kutoka Chunya, mbalizi, njombe[emoji1787][emoji1787]
Mbona hata sahii ndio kinachofanyika.
Sema watu huenda hawana muitikio hata wa kupanda hayo malori.
 
Rais Samia Suluhu amedai kwamba , Waandishi wa habari wanaandika kwamba kwenye ziara yake inayofanyika Nyanda za Juu Kusini watu wanaohudhuria ni wachache , Jambo analoliona kama ni Upotoshaji , Kwake yeye anaamini Umati ni mkubwa wa kutisha , amewaomba waandishi waandike uhalisia , huku akiwataka Wapiga picha wapande juu ili wapige vizuri picha za umati unaohudhuria mikutano yake .

Kwa kadri ya kumbukumbu zangu hili ni jambo Jipya tangu niifahamu Tanzania , sijawahi kusikia Rais wa Tanzania akilalamikia kuhusu taarifa za ziara zake kupotoshwa na wanahabari na wapiga picha .

Hivi Ikulu haina Wapiga picha ambao wanaweza kunogesha
ziara ya Rais hata kwa Propaganda za uongo , kama enzi za akina Michuzi ?
Umeandika kishabiki sana punguza wivu
 
President Samia anakosa political decked na political influence hii ni kutokana na aina ya uongozi wake kwa maisha yalivyo magumu na yeye kutwa nzima kulalamika badala ya ku-find solution nani mwenye akili timamu atakwenda kumsikiliza ?zaidi ya vijana wake wa uvccm.
 
Nchi inaongozwa na Mapaka!Umati wa watu katika mikutano ya Rais ndiyo huleta maendeleo kwenye nchi?!
 
Lazima mama awe mkali, nguvu inayotumika kujaza watu kisha watu waseme ziara zake hazina watu ni tatizo kwake. Hiyo ndio tatizo la kuingia madarakani kwa kupora uchaguzi, inabidi kujaza watu kwa shuruti ili kuhadaa umma kuwa unakubalika. Huu mchezo Magufuli ndio alikuwa kinara, na sasa mama naye kazama kwenye huo huo utapeli.
Kwahiyo Magufuli alipookufa aliagiza watu wabebwe kwenye malori ili waje uwanja wa taifa kuvunja mageiti ili mwamuone alivyokufa??Kama huna la kusema kaa kimya nalo ni jambo jema,Magufuli ni habari nyingine inawekana ndo maana amekufa.Angekuwa fala angekuwe hai mpaka leo.
 
Wafuasi wake walitaka kushow off
 
President Samia anakosa political decked na political influence hii ni kutokana na aina ya uongozi wake kwa maisha yalivyo magumu na yeye kutwa nzima kulalamika badala ya ku-find solution nani mwenye akili timamu atakwenda kumsikiliza ?zaidi ya vijana wake wa uvccm.
Kwani ccm ishawaki kuwa na hiyo Political Influence?? Nakwambia hivi bila vyombo vya dola ccm ni sawa na Chauma tu.
 
Maisha ni magumu awamu hii ya six mpaka wananchi tunatamani kugawana vocha lakini haifai.

Yaani ukiweka vocha ya buku jirani anakugongea hata mia mbili tu ya kudeep lakini ndio haiwezekani.
Ulivyoandika Kudeep nikajua tu we ni sukuma group🤣🤣
 
Mbona nchi zingine hakuna mambo haya ya kujianika Juani na kujionyesha na wanatuzidi mno?

Tuache mazoea yasiyokuwa na tija maana hata zamani akiwa nyerere anakuja mpaka nyumba zinapakwa rangi na tunasimama barabarani
Je tulifika waapi kiuchumi?

Rais atulie tu kazi zitaenda kwa amri tu
 
Yeyote (hasa mwanaume) akihudhuria ktk ziara ya huyu mama ana tatizo la ubongo tu
 
Back
Top Bottom