Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Rais Samia Suluhu amedai kwamba , Waandishi wa habari wanaandika kwamba kwenye ziara yake inayofanyika Nyanda za Juu Kusini watu wanaohudhuria ni wachache...
Mama amesahau strategy za Jiwe za kubeba wanafunzi, malori na ma trecta ya wakulima kwenye mikutano.Tuwapelekee wananchi maendeleo na sio picha.
Waandishi pandeni juu ya miti jamani ccm imeshachokwa huko.hahahahahaha kwelii Tanzania nchi yangu naipenda .Mama anataka waonyeshe hata tulio nyumban kuwa tumehudhuria mkutano wake🤣🤣🤣🤣
Hiyo tabia mnayo sana Chadema.Mama amesahau strategy za Jiwe za kubeba wanafunzi, malori na ma trecta ya wakulima kwenye mikutano.
Yaani mkutano wa Mbeya mjini anaanda malori kutoka Chunya, mbalizi, njombe🤣🤣
Magufuli ndo alianzisha maisha magumu hata we mwalimu unalijua hilo.Hiyo tabia mnayo sana Chadema.
Rais wangu inampasa kujitutumua haswa kupunguza ukali wa maisha wananchi wapate matabasamu kwenye hayo mapicha yatakayotokea.
Hehehe aliyezoea si umemsikia? Ana hisi wapiga picha wana mhujumu.Hiyo tabia mnayo sana Chadema.
Rais wangu inampasa kujitutumua haswa kupunguza ukali wa maisha wananchi wapate matabasamu kwenye hayo mapicha yatakayotokea.
🤣🤣🤣Magufuli ndo alianzisha maisha magumu hata we mwalimu unalijua hilo.
Maisha ni magumu awamu hii ya six mpaka wananchi tunatamani kugawana vocha lakini haifai.Magufuli ndo alianzisha maisha magumu hata we mwalimu unalijua hilo.
Ccm ni habari nyingine ndugu.Hehehe aliyezoea si umemsikia? Ana hisi wapiga picha wana mhujumu.
Kifupi CCM imechokwa.
Wananchi wameanza kuwagundua janja janja zenu.
Mliingia madarakani kwa kupora uchaguzi wananchi wakawatazama wakasema hiiiii hiiii.....bhagosha.Ccm ni habari nyingine ndugu.
Kila siku inazidi kuimarika.
Huo mchezo wa kujazana kwenye malori mnao huko Chadema.
Vocha ya buku unataka kugawana na wenzako halafu unashinda hapa kushabikia upuuzi tu🤣Maisha ni magumu awamu hii ya six mpaka wananchi tunatamani kugawana vocha lakini haifai.
Yaani ukiweka vocha ya buku jirani anakugongea hata mia mbili tu ya kudeep lakini ndio haiwezekani.
Wameichoka CCM.Nilikuwepo Simba Day watu wa sensa walipewa nafasi ya kuhamasisha walipokuja na kuanza kuongeza na kusema mama Samia house mhitikio ulikuwa hafifu.mno. kiukweli watu wamemchoka
Ccm ni habari nyingine ndugu.
Kila siku inazidi kuimarika.
Huo mchezo wa kujazana kwenye malori mnao huko Chadema.
Watanzania wanaipenda na kuiamini CCM.CDM watoe wapi hela ya kubeba watu na malori? Ukiona watu kwenye mkutano wa CDM ujue wamejitokeza kwa mapenzi yao, sio hao wa CCM inayotumika nguvu ya dola kujaza wanafunzi, watumishi wa umma nk.
Kimsingi hizi ziara inatumika nguvu kubwa ya pesa na dola ili kufanikisha mafuriko fake. Hili ndio tatizo la kuingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi.
Asubiri shule zifunguliwe na walimu warudi kwenye zoezi la sensaMama amesahau strategy za Jiwe za kubeba wanafunzi, malori na ma trecta ya wakulima kwenye mikutano.
Yaani mkutano wa Mbeya mjini anaanda malori kutoka Chunya, mbalizi, njombe🤣🤣
Uzuri ni CCM ile ile... halafu ujue nilifikiri nyie wa CCM kuna favor flani mnapata kumbe sivyo?Maisha ni magumu awamu hii ya six mpaka wananchi tunatamani kugawana vocha lakini haifai.
Yaani ukiweka vocha ya buku jirani anakugongea hata mia mbili tu ya kudeep lakini ndio haiwezekani.