MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
-
- #61
Dunia imeharibika watu wengine nuksi ukiwasalimia unapata mikosi tuDah sisi kwenye tunafundishwa kua tupende kusalimiana sanaa ata kma umepita na kupituka ukirudi msalimie muislamu mwenzako tena
Dah we hujui kua Salamu huleta upendo na faraja baina ya watu
Mikoani bado wana elements za kibinadamu na uungwana .Habari wana JF
Niko shamba kwa mitikasi ya hapa na pale, yaani kila mtu anasalimia, kwa siku unasalimiwa zaidi ya mara 200
Mambo ya kijinga sana, unakuta una mawazo yako mtu ana ku-distract alafu cha ajabu hakujui na hiyo salamu haijengi chochote.
Kwa hesabu ya kawaida energy unayotumia kujibu watu 200 ukii-conserve unaweza ukafanya jambo kubwa la msingi.
Tusalimie watu tunaowajua na tuwe tunamaanisha, vinginevyo tunachoshana. Mmesikia nyinyi wapori pori?
Hata Mimi sipendi hizo swaga,bi mkubwa wangu ukiongozana nae huwa ananimaliza maarifa kabisa!anasalimia Hadi kuku
Imagine mtu humjui,upo zako na mawazo yako kibao kichwani unasikia "habari yako?Aghhhrrrrrr🤯🤯🥵🥵..Kweli huwa naboreka, jamani salamu ziwepo palipo na tija nakuumga mkono kabisa wazo lakoUmeona ehe, kuna kitu hakipo sawa kwenye undeshaji wa maisha yetu, wakati ni fedha
Bila shakaUkiwa na umri wa Bi. Mkubwa wako utaelewa akifanyacho.
Mjini Salamu inaweza Isiwe na maana Sana Kutokana na wingi wa Watu lakini Kijijini salamu ni muhimu Mno
Alafu ukute ata hajasafisha kinywa, gundu juu ya gunduImagine mtu humjui,upo zako na mawazo yako kibao kichwani unasikia "habari yako?Aghhhrrrrrr🤯🤯🥵🥵..Kweli huwa naboreka, jamani salamu ziwepo palipo na tija nakuumga mkono kabisa wazo lako
Nasalimia,lakini siwezi salimia kila mtu!eti naambiwa nitakosa watu wakunizika Sasa hizo shida zangu kweli?hakuna maiti uliyomkosa mzikajiUkiwa na umri wa Bi. Mkubwa wako utaelewa akifanyacho.
Mjini Salamu inaweza Isiwe na maana Sana Kutokana na wingi wa Watu lakini Kijijini salamu ni muhimu Mno
Umenikumbusha movie ya coming to AmericaZa asubuhi majirani
😂😂😂😂Jamani!wanaudhi sanaAlafu ukute ata hajasafisha kinywa, gundu juu ya gundu
Tumesema tusalimiane Kama Kuna haja ya kufanya hivyo!hayo Tena ya kuvumiliana Hapana kwa kweli😁Kuna Ku u inaitwa Uvumilivu, alafu kuna Ile nyingine inaitwa kuishi kulingana na mazingira.
Salamu sio shida,
Nasalimia,lakini siwezi salimia kila mtu!eti naambiwa nitakosa watu wakunizika Sasa hizo shida zangu kweli?hakuna maiti uliyomkosa mzikaji
Imagine una hug watu wasiosafisha vinywa, hawaogi na hawapaki deodorantKwetu salamu ni kukumbatiana na kupiga magoti sasa kama una haraka zako utakoma. Nyinyi watu wa dar muna matatizo hamsalimiagi ishiiiiiy!
Tumesema tusalimiane Kama Kuna haja ya kufanya hivyo!hayo Tena ya kuvumiliana Hapana kwa kweli😁
Inategemea sio wa hivo banaImagine una hug watu wasiosafisha vinywa, hawaogi na hawapaki deodorant
Na imagine tuInategemea sio wa hivo bana