Kwanini watu wa mikoani wanapenda kusalimia salimia?

Kumbe we jamaa ni Msukuma😂😂😂

Nilifikiri Waukae Mwenzangu.
 
Yawezekana hata gari huna kuku wewe. Hata kama unalo kwani mda wote utakuwa unaendesha. Na ni Barbara zipi za kukimbiza gari 120km/h

Ujinga, ushamba na ulimbukeni ndivyo vimekujaa
Jana nikiwa naenda kanisani mdogo mdogo
Kwenye rough road ya kupandishia kanisani, nikawa nimesogea pembeni kupisha gari lipite, Alikuwa ni katibu wa kanisa.Alifungua mlango wa gari lake kali na kunisalimia
Alikuwa naye anapandisha kuingia kanisani.

Ni mtu na hela zake nyingi tu,ila alionyesha heshima kwa kunisalimia mm binti mdogo tu.

Heshima kutu cha bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana hata gari huna kuku wewe. Hata kama unalo kwani mda wote utakuwa unaendesha. Na ni Barbara zipi za kukimbiza gari 120km/h

Ujinga, ushamba na ulimbukeni ndivyo vimekujaa
Kiufupi sijaona tatizo lolote kwenye salamu, ingawa mleta mada anaweza kuona yupo sahihi ila si vyema kwa kuwa ameingia kwa watu wenye utamaduni huo. Itikia salamu then endelea na mambo yako. Nyodo unazozionyesha kwa watu hazifai, vinginevyo ujihakikishie unajitosheleza kwa Kila kitu na hautowahitaji hao watu kwa lolote lile.. Inawezekana akipata changamoto akiwa kwa watu pori (kama alivyowaita) ataleta watu wake kutoka Dar waje wamsaidie
 
Haukuliwa kimasihara?
 
Soma vizuri uzi, hakuna mahali nimesema sikujibu salamu
 
Mkuu, huwezi lazimisha mimi nitafakari au kuchakata vitu au mambo kwa namna yako, wewe amini unacho aminini na mimi naaamini ninacho amini
Kwa jibu hili ulikuwa na maada Gani sasa kupost thread ya namna hii, si ungebaki na Imani yako tu kama ulilijua Hilo. Umeleta mada ukitegemea attention na support lakini imekuwa vice versa umekutanishwa na vikombe
Umebaki kupaniki tu
 
Huwezi ku-question akili kubwa wakati ata uzi wenyewe haujauelewa, hizi shule za kata haziwatendei haki
 
Huwezi ku-question akili kubwa wakati ata uzi wenyewe haujauelewa, hizi shule za kata haziwatendei haki
Acha mambo ya kike, hakuna Cha akili kubwa hapo ispokuwa ni fuvu lako limejaa kinyesi badala ya ubongo. Watu wenye matatizo ya akili ndio huwa mnajiona timamu kuliko watu wengine.

Yote kwa yote, hata kama shule za kata hazijasaidia ni sawa kuliko shule ulizosoma wewe na Bado ukabaki na perception za kipumbavu, halafu unaziexpoze mbele za watu, wakijudge unawapanikia
 
Wewe naona Umeathiriwa na tamaduni za kuiga, Salam Kwa watanzania Ni tamaduni na asili yetu na Ni kielelezo cha heshima Kwa watanzania,hebu nikuulize kitu endapo mwanao WA kumzaa hatokusalimia asubuhi utajisikiaje au mtu uliyemzidi umri akupite Bila Salam, acha mambo ya kuiga.
 
wee bwege kweli yani.dar pamekushinda kutafuta umeenda mkoa unataka kupeleka ujinga wako huko?siungebaki dar ambapo watu hawana habari hata najirani tuu.kiufupi ndio Mana hujafanikiwa dar nihuo ujeuri wako.salimia watu utapata na kujua vingi vya faida ndezi we.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…