Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

Picha yako wewe tuone ulivyolewa na picha ya mji wenu.
 
Naam Ila huruma ina ubia na serikali inamilikiwa na katoliki,ila vituo vya afya vipo zaidi ya 10 wilaya nzima,zahanat kama zote ndio maana hospitali ya wilaya haina population
Hivyo vituo vya Huruma viko mjini au villa chaka chaka ??
 
Mtoa mada amesema kweli kabisa, kwa ujumla rombo na maeneo mengine ya Moshi ni mazuri mnooo, yani migombani huko unakuta mijumba ya maana.
Ad magorofa yamo ya kutosha..hakuna uhaba wa madarasa na vitendea Kazi vyake..pia imeunganishwa kwa lami kuanzia Moshi mjin ad tarakea. Hata barabaran za mtaaan zinapitika.. kipindi Cha mvua ndo utakuta barabara chache zenye utelezi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…