Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

Yaani hizi chuki zinawasaidia nini viasaka??

Yaan ofisi za serikali ndo zinamtoa mtu jasho la meno hivi? [emoji28][emoji28]
Yaani kwa mtu ambaye hajawahi fika Rombo akisoma hii thread unaweza sema ni porini..

Halafu tukiamua kuweka picha za mijengo yetu humu tutatafutana mbona. Yaani hapo wilayani ndo panawatoa jasho hivyo?

Hivi hata wanajua border tu inaingiza kiasi gani cha fedha? Hivi ni kweli haya maghorofa hawayaoni na mahekalu mengine ama wameamua kujitoa tu ufahamu??

Shule hazina wanafunzi kwakua most of population hawako vijijini wameenda mbali kurafuta kipato. Halaf kuna mtu rombo siyo kwao ameenda huko either kibiashara ama ameajiriwa anatafuta riziki lakini anashangaa na kulaumu kwanini wakazi wa Rombo wanaondoka kutafuta peda mbali kama kuna mzunguko wa fedha. Inashangaza sana wewe hukubaki wilayani kwako ila unamshangaa mwingine kuondoka wilayani kwake. Rombo is ur teacher. Na huu ulevi upo kama ulivyo sehemu nyingine ila unatumika kisiasa.

Rombo ina makazi bora sana. Acheni chuki zenu. Na matajiri wengi sana wamejaaa. Mbona huwa munasifiaga tumejenga majumba migombani kwaajili ya dec lakini mada zikija munatugeuka tena?[emoji28] halaf nyumba za nyasi kwetu hakuna. Period. Za nyasi ni huko kwenu.

Hospitali ya Wilaya iko Usseri na siyo Huruma ijapokua Huruma iko shared kati ya kanisa katoliki na serikali. Zahanati ziko nyingi na wala hakuna congestion. Mashule ndo yamejaa. Kiujumla kilimanjaro hakuna watu wengi. Watu wako mbali kutafuta. Musijisingizie bure. Mji unaweza kuta una maboma hata matano lakini wote hawapo wako mjini. Kwanini idadi isiwe ndogo.

Karibuni Christmas.. punguzeni sonona
 
Tumezidiwa na dar kwa 2% only mamaeeee na ili gape tutalipita tu soon.....
 
Ile wilaya ina shule nyingi mno hata wanafunzi wakikosekana huwezi kushangaa
 
Ile wilaya ina shule nyingi mno hata wanafunzi wakikosekana huwezi kushangaa
Ndo maana tunawaambia wanaongea kama wamekatwa vichwa. Hata hao reporters hawafanyi research za kutosha wanaibuka tu. Shule ni nyingi mno. Na Emglish medium nazo zimeongezekaaa. Tuliwafunguliaga lango. Halaf wanasahau kule ni vijijini wakati kwao ni mjini
 
Mimi toka nimeanza kusikia uhaba wa madarasa nchini na wakuu WA wilaya wakifanya kampeni aisee sijawai kuona Moshi wakifanya kampeni izoo Moshi shule nyingi sana sema tu watanzania wengi hawapendii wachaga na wanaona kama wabinfsii hasa ikifika December roho zinakuwa zinawauma tu
 
Na hutowasikia wakinena hilo. Watatafuta sababu zao tu wenyewe
 
Makanisa yote yana shule bado za kata hapo.....daaah acha kabisa
 
Huku si ndo kule niliskiaga wake zao wanavuka mpaka kwenda Kenya wakati wa heat kutafuta wanaume maana wayne zao walevi Sana? Sio huku?
Kamwulize mama yako ni nani baba yako.. yaani who is your biological father?
 
How about Kahama? Kahama wanaruti nyingi za mikoani hiyo Rombo cha mtoto
1-umesahau kuwa kahama ipo katikati hivyo magari mengi lazma yapitie? Rombo ni pembezoni magari yanaanzia hapo
2-hata hayo mabasi ambayo yanakuja huko kahama mengi ni ya wachaga mfano Mtei exp, Osaka raha, Kandahar,happy national ,nk
 
Niko hapa Rombo, hakuna kitu.

Acheni kelele nyie. Wilaya ya enzi za mwalimu lakini utafikiri imeanza jana.
Wilaya ilioanza Jana iwe na maghorofa huko migombn? Wilaya ilioanza Jana iwe na umeme vijiji vyote kwa 100% unachekesha
 
DECEMBER HII ITAFIKA ROMBO KWA AJILI YA KUJENGA MAZINGIRA MAZURI,

 
Kiufupi kwa sasa rombo wanawake ndo wanaume
 
Wilaya ilioanza Jana iwe na maghorofa huko migombn? Wilaya ilioanza Jana iwe na umeme vijiji vyote kwa 100% unachekesha
Pia mkumbushie kijijini kwetu ni pahali patakatifu, huwa ni makazi yetu ya kupumzikia ndo maana tunawekeza kungine. Vijijini kwetu hatupauzagi. Ndo maana kumebaki migomba na mikahawa na majumba yetu. Hatutaki kupafanya kama dsm. Ndo maana hata moshi mjini kuko busy day time, jioni watu hupanda milimani
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…