miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Yaani hizi chuki zinawasaidia nini viasaka??
Yaan ofisi za serikali ndo zinamtoa mtu jasho la meno hivi? [emoji28][emoji28]
Yaani kwa mtu ambaye hajawahi fika Rombo akisoma hii thread unaweza sema ni porini..
Halafu tukiamua kuweka picha za mijengo yetu humu tutatafutana mbona. Yaani hapo wilayani ndo panawatoa jasho hivyo?
Hivi hata wanajua border tu inaingiza kiasi gani cha fedha? Hivi ni kweli haya maghorofa hawayaoni na mahekalu mengine ama wameamua kujitoa tu ufahamu??
Shule hazina wanafunzi kwakua most of population hawako vijijini wameenda mbali kurafuta kipato. Halaf kuna mtu rombo siyo kwao ameenda huko either kibiashara ama ameajiriwa anatafuta riziki lakini anashangaa na kulaumu kwanini wakazi wa Rombo wanaondoka kutafuta peda mbali kama kuna mzunguko wa fedha. Inashangaza sana wewe hukubaki wilayani kwako ila unamshangaa mwingine kuondoka wilayani kwake. Rombo is ur teacher. Na huu ulevi upo kama ulivyo sehemu nyingine ila unatumika kisiasa.
Rombo ina makazi bora sana. Acheni chuki zenu. Na matajiri wengi sana wamejaaa. Mbona huwa munasifiaga tumejenga majumba migombani kwaajili ya dec lakini mada zikija munatugeuka tena?[emoji28] halaf nyumba za nyasi kwetu hakuna. Period. Za nyasi ni huko kwenu.
Hospitali ya Wilaya iko Usseri na siyo Huruma ijapokua Huruma iko shared kati ya kanisa katoliki na serikali. Zahanati ziko nyingi na wala hakuna congestion. Mashule ndo yamejaa. Kiujumla kilimanjaro hakuna watu wengi. Watu wako mbali kutafuta. Musijisingizie bure. Mji unaweza kuta una maboma hata matano lakini wote hawapo wako mjini. Kwanini idadi isiwe ndogo.
Karibuni Christmas.. punguzeni sonona