Kwanini watu wanapata shida na dhiki duniani, Mungu hana huruma?

Yaani wewe unataka Mungu akufanyie kila kitu kama mtoto mchanga,vip na hyo akili amekupatia ya kazi gani sasa? Wewe siyo Roboti
Atanifanyiaje kitu chochote wakati hayupo!?

Hujaweza kujibu hata nlichokiuliza hapo juu japo umekiquote.

Hujajibu hoja kuu ya "vimondo" na uhusiano wa "kufa ni kuchagua"

Unaweza thibitisha kuwa Mungy yupo walau hata kwa kuondoa contradiction zilizopo kwenye dhana ya uwepo wake?
 
Hakuna anaetaka kuzaa kilema ila jua tu wahuni wapo mahali wanalaani maisha ya kiumbe ht kabla hakijatungwa pengine mahali kinapoenda kukaa unadhani utatoka salama.
Kuna kuumbwa kisha kuna kuzaliwa.
Wajuba na darubini zao wanaona kuanzia mama na UZAO wake na wanajua anayekuja ni nani..... Wanamharibia unachokuja kuona ni matokeo na utahitimisha kuwa Mungu ndio kapanga.
Mungu hana madaraja kwenye kuumba na alimaliza na hata rudi kuumba tena.
 
Tazama hiyo video halafu useme ilikuwaje mtoto mdogo akawa vuguvugu.
Vipi umewahi kwenda hospital kitengo cha Cancer na kuona watu wanavyooza?
Wanaoza kwasababu ya uvuguvugu?
Ili dunia iwepo na maisha yaendelee lazima hali zote ziwepo kupata na kukosa na uzima na maradhi yawepo hiyo ndio dunia haiwezekani watu wooote wawe matajiri maisha yesingekuwa poa kabisa
 
Ficha ujinga wako
 
Mungu afanye kazi yake... Aache kutupandikiza udhaifu halafu anatuadhibu. Yeye ni mkuu anao uwezo wa kurekebisha.
 
Kifo ni njia ya kuondoka Duniani kwa Kila kiumbe ni lazima japo Kuna vifo kwa matakwa ya wanadamu mfano wachawi na vya matakwa ya Mungu.
Nimekupa jibu kuhusu makanisa kupitia maandiko ndipo utaweza yatambua yapi ni ya Mungu na yapi Sio.
Majanga ya asili uwapata wote sawa na mvua zinanyesha kote kwa waovu na wema kulingana na mapenzi ya Mungu kadri atakavyo kwa maana Kila mmoja kaandikiwa siku yake.
Shida huja kwa Nia mbalimbali mfano kukukomaza,kukufunza,kukuepusha na hatari kubwa zaidi,kukulinda na mabaya,kukuletea NEEMA kubwa mbeleni nk
 

Hujaweza kunijibu bado, unatengeneza swali lako na kulijibu

Embu fuatilia mtiririko huu nliouchanganua

Ulisema kuwa watu wanakufa kwasababu hawamtumainii Mungu,

Wote waliokufa kwenye matetemeko hawamtumainii Mungu

Kifo ni njia ya kuondoka Duniani kwa Kila kiumbe ni lazima japo Kuna vifo kwa matakwa ya wanadamu mfano wachawi na vya matakwa ya Mungu.
Unasahau mada hapo awali tuliongelea kuhusu vifo.
Na ukasema watu wanakufa kwenye majanga kwasababu hawamtumainii Mungu.
Nkakuuliza wote wafao kwenye matetemeko hawamtumainii Mungu?
Tena hadi nyumba za ibada kwenye miradi yake ya kuvuna pesa (makanisa+misikiti) tunaona inabomoka kwasababu ya majanga hayo.

Kweli inawezekana hicho kitu na Mungu kuwepo then aruhusu?

Hapa pia kuna mtiririko usio na logic kama wa hapo juu

Yote hayo umeongea lakini unarudi hapo hapo kwenye square ya 1.

Kama huyo Mungu mjuzi wa yote, Mungu muweza wa yote na mwenye upendo wote inawezekana vipi aruhusu watu wataabike kwa shida na mateso?

Kama alikuwa na uwezo wote asingeshindwa kuumba ulimwengu usiowezekana mateso hayo yanayosababishwa na mabaya.

Nmebold hapo umesema kuwa shida zinakuja ili kutufunza na kutulinda na mabaya.

Wakati Haya mabaya ni huyo Mungu ndio kayatengenezea mazingira ya kuwezekana kwenye ulimwengu wake.

Huoni kama huyu Mungu hayupo, ni wakuungwa ungwa tu na watu ndio maana anajipinga mwenyewe kimantiki.?
 
China , Korea zote na Japan hawaamini katika mungu na ndo wanaendelea kuliko jamii zinazomuamini mungu
  • Hawamuamini Mungu anayesena wauze mali zao zote wawape maskini.
  • Hawamuamini Mungu huyu mwenye kodi ya 1/10.
  • Hawamuamini Mungu muweza wa yote, Mungu ambae anaweza kuwaletea chakula hata wasipofanya kazi.

kuna wachina, wajapan au wakorea wangapi wanaitwa Isaya, Mariam, Emmanuel, Mohammed, Abdallah au Zulpha.


Kwanini huyu Mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote na mwenye upendo wote ameshindwa kupeleka vitabu vyake vikahubiriwe Korea kaskazini.
Hapo nahisi alikosa mbinu maana Kim Jong Un yupo kule hataki ujinga ujinga.

Ila Africa tumepoteana sana kuanzia kwenye tamaduni tu. Halafu wazee wanafiki wanakwambia watoto wa siku hizi hawafuati mila na desturi. Halafu yeye mwenyewe anamtegemea Yesu na mwingine ni swala 5.
 
Asili yako "binadamu" ni ipi?
Asili ya binadamu
(unapoongelea bonadamu unaongelea ni species ya homo sapiens)

Binadamu (homo Sapiens) ana asili ya kimsingi kutoka kwenye mnyama wa kale anayefahamika kama Homo habilis, ambaye aliishi takriban miaka 2.4 hadi 1.4 milioni iliyopita. Hapo awali, binadamu wa kale (homo habilis) waliishi katika mazingira ya pori huko Afrika Mashariki, ambayo ni sehemu ya sasa ya Tanzania na Kenya.

Kupitia mchakato wa mamilioni ya miaka, spishi mpya zilijitokeza, kama vile Homo erectus, Homo neanderthalensis, na mwisho Homo sapiens, ambao ndio spishi pekee ya binadamu inayosalia duniani leo.
 
Dunia ni makao ya mda mfupi ya Mwanadamu thus yote uliyoyataja yataishia tu huku Duniani.
 
Hizo ni story za abunuwasi eti species mbona siku hizi binadam hawabadiliki kwa mujibu wenu means mabadiliko ni on going process na Sio static,mbona binadam amestack kubadili kuelekea another species.
Ishu ya binadam wa kwanza sijui bonde la oldvai Haina mashiko Wala uthibitisho zaidi ya propaganda tu za freemason kuichallenge asili ya Mwanadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…