Jofure freeman
Senior Member
- May 21, 2018
- 150
- 381
Inafikirisha sanaKama wewe msomaji ungepata uwezo wa 10% tu ya uwezo wa Mungu tunayeambiwa kuwa ana utajiri usio kwisha, ana huruma na upendo ungekubali mtu uliyemuumba (innocent) ateseke kiasi hichi?
View attachment 2667063
Umeshindwa kujibu kama inavyopaswa,Narudia kukujibu,Mungu uokoa walio wake.Iman haithibitishwi kwa macho tu,si Kila alitajale jina la Mungu au aingiaye kanisan anamuabudu Mungu pia Sio yote makanisa ni ya Mungu inakuhitaji macho ya rohoni kuyatofautisha kupitia maandiko.
Mungu yupo,ndie ameumba mbingu na nchi,na vilivyomo.Nasena hayupo kwasababu hayupo.
Mungu ni mhusika mkuu wa hadithi za alfu lela ulela zilitungwa na watu wa zama za giza na ujinga kwa lengo kuu la kujibu maswali magumu yaliyowakabili.
Nafkiri nlikwambia muda huko nyuma..
Ama si wewe?
Alfu lela ulela tu.Watu wanateseka duniani sababu ni watenda dhambi .
Principal iko wazi ukimtumikia Mungu kwa uaminifu bila makandokando ya kumchukiza kwa matendo maovu ukaamua kuishi ya kulifata neno lake hakikahuwezi kuteseka.
Ila ukiishi kwa mazoea ya kutenda dhambi wewe ni wa shetani hakika Mungu hawezi kuwa rafiki yako .
Huko kusema Mungu hayupo,ndio uthibitisho kuwa yupo,kilichopo ndicho kinachosemwa hakipo,kwasababu kipo,ndio wapo wanaosema hakipo.Sawa hatukatai,
Unaweza kuthibitisha kuwa Mungu yupo?
Huko kutaja neno Mungu,na wengi ndio uthibitisho tosha,wa kuwepo Mungu.Kisichokuwepo hakitajwiUnaweza kumthibitisha huyo Mungu sasa?
Si kweli, Gari inaushahidi wa hadi inakotengenezwa, Manual ya gari na brand yake ipo. Na imetengenezwa panapojulikana.Mungu yupo,ndie ameumba mbingu na nchi,na vilivyomo.
Akili yako ni sawa na mtu,aone gari na vilivyomo ndani ya gari,mashine,matairi,battery,seat,vioo,milango,nk.Halafu aseme hakuna aliyetengeneza hiyo gari,--iko hivyo ilivyo yenyewe,!utaonekana huna akili kichwani.Ndio sawa na kuona dunia na vilivyomo,halafu useme hakuna aliyeviumba.
Huko kusema hayupo,ndio uthibitisho kuwa Yupo.Kisichokuwepo hakitajwi kuwepo,kimkuwepo ndio kikasemwa hakipo.Alfu lela ulela tu
Wewe ndio umezidiwa maarifa,usiyejua kama Mungu Yupo.Usingizi tu ukikujia huwezi kujizuia,utalala,hutaki au wataka,kifo kikikujia utakufa wataka hutaki,hapo jiulize ni nani anayenishinda nguvu,!mpaka nalala bila kupenda,na vile vile wanaokufa,usifikiri wamependa,wanajikuta tu wamekufa.Mungu tumemzidi mbali mno.
Mungu huyu hajui hata jua linaenda wapi usiku
Huko kutojua kwako kua Mungu yupo,ndio uhakika wa kuwepo,kwa sababu kilichopo,ndio kinajulikana kuwepo kwake au kusikokuwepo kwake.Mkuu,
Kama kweli Mungu yupi kwanini tuhitaji kitabu ama wahubiri?
Huyu mungu anamtegemea sana mwanadamu, anatula mabega tu.
Yaani mfano ukichukulia biblia wakati inaandikwa zamani, ilirekodiwa kwenye magome ya miti na vibao.
Sasa huyu Mungu amekuwa akitegea sana hata vitabu vyake vimekuja kuandikwa vizuri baada ya industrialization karatasi zikaanza kuwepo, na sasa hivi inahamia kwenye softcopy (kielectronic zaidi)
Angekuwa kweli analengo hili la kutunga kitabu, angekitunga toka awali tu kwa kuwasgushia karatasi tangu kabla ya kristo (KK)
Sasa mungu huyu hayupo ni watu tu wamemtunga.
Kushindwa kwake kujiomesha ama kuhubiri mwenyewe huu ni udhihirisho mwingine kuwa hayupo.
Anayesema anaenda, hamaanishi anarudi.Huko kusema Mungu hayupo,ndio uthibitisho kuwa yupo,
Kwahiyo Spiderman anavyosemwa hapa kuwa siyo real na hayupo Kumbe yupo?kilichopo ndicho kinachosemwa hakipo,kwasababu kipo,ndio wapo wanaosema hakipo.
Kwahyo Ngoswe yupo?Huko kutaja neno Mungu,na wengi ndio uthibitisho tosha,wa kuwepo Mungu.Kisichokuwepo hakitajwi
Logical non sequiturHuko kutojua kwako kua Mungu yupo,ndio uhakika wa kuwepo,kwa sababu kilichopo,ndio kinajulikana kuwepo kwake au kusikokuwepo kwake.
Huo utashi unaokushinda,ndio kuwepo kwa huyo aliyepo,anayekushinda wewe kiuwezo,!ukashindwa kuamua,unavyotaka wewe.Ni sawa na TV,inavyoendeshwa na remote,bila kuwa na maamuzi yake mwenyewe.Kushindwa kwangu kuyageuza kwa utashi wangu hakumfanyi huyo mungu awepo.
Thibitisha Mungu yupo.
Naona ni mwendo wa logical non sequitur.Wewe ndio umezidiwa maarifa,usiyejua kama Mungu Yupo.Usingizi tu ukikujia huwezi kujizuia,utalala,hutaki au wataka,kifo kikikujia utakufa wataka hutaki,hapo jiulize ni nani anayenishinda nguvu,!mpaka nalala bila kupenda,na vile vile wanaokufa,usifikiri wamependa,wanajikuta tu wamekufa.
Matetemeko ni binadamu wenyewe tunasababisha,!mabomu ya ardhini,ujenzi wa majumba marefu,kutumia ardhi kwa matendo maovu.Huko baharini mazoezi ya silaha kali,meli zilizozidi uzito,uingizaji wa mafuta machafu baharini,!!kukata miti,uharibifu wa mazingira nk.Unafikiri tsunam na tetemeko hayatacheza mbali.Je matendo yetu yanasababisha matatzo kweli?
Unaweza kurelate kati ya matendo yetu mabaya na kutikea kwa matetemeko ama Tsunam?
Hayo ni majina ya kilugha tu,waswahili twaita Mungu,wazungu God,wahindi Baguwan nkKuna mungu zeus, athena, poseidon,demeter,hestia, haphaestus, aphrodite,hermes, apollo, brahma the creator na wengine wengi
Unathibitisha vipi mungu wako wa quran ndiye mungu sahihi na si hao wengine?
Vipi nikikwambia leo nimekutana na alicorn au unicorn au hippogriff au alien kariakoo na nikamwelekeza maduka ya vifaa vya umeme, utasema ni kweli kwasababu tu nimekwambia?
Mungu huyo huyo anayetaka wengine wafe kwasababu tu hawapo katika dini yake? Huo uwezo wote uko wapi?
Umesheelewa unajifanya hujaelewa.Hapo kwenye usingizi na kifo yupo anayefanya yatokee,ni nani,na kama hayupo snayefanya ulale na ufe,kwa nini udijizuie usife na usilale.Naona ni mwendo wa logical non sequitur.
Sasa kuzidiwa kulala mara kifo.. Kunathibitisha vipi uwepo wa Mungu?