Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
wanadhani ni sifa kumbe uzwazwa tu, kama zamani mtu anajiita mzungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hawanaga hela hawa jamaa... ni kukopa tu na kuombaombawanadhani ni sifa kumbe uzwazwa tu, kama zamani mtu anajiita mzungu.
Ukijibiwa hayo maswali hautokasirika?Maana nina majibu yenye kuudhi tu.Samahani.... uko timamu mkuu?! Au unatumia simu ukiwa ushapendeza tayari?! 😀
Nani kakasirika hapo?! Inamaana huoni kuna compliment yenye swali juu yako na jibu vilevile?!
Una umri gani na elimu gani komredi?! 😀
Wapo wanaofika mbali kufanyia watu ubabe au unyang'aji na huku wakitoa vitisho, dhihaka na kujinadi au kutafuta sifa kwamba yeye/wao ni.......hapo ndo mkakati husikaHabari za leo wanajamvi!
Natumaini wote ni wazima wa afya na tunaendelea vyema kusukuma gurudumu la maendeleo ya taifa letu ingawa ni kwa kasi ya kobe lakini si haba, tukishirikiana na serikali yetu tukufu.
Kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni kama wewe/nyinyi ni wafuatiliaji/mfuatiliaji/wadadisi/mdadisi wa mambo Kumekuwa na wimbi au tabia ya watanzania wengi hususani vijana kuthubutu bila woga kujifanya na kutamka mbele ya umati kwamba yeye au fulani ni mwanajeshi au askari.
Wapo wanaofika mbali kufanyia watu ubabe au unyang'aji na huku wakitoa vitisho, dhihaka na kujinadi au kutafuta sifa kwamba yeye/wao ni mwanajeshi/wanajeshi au polisi. Bila hofu wala uoga mwingine anadiriki kusema au kutafuta sifa kwambe yeye ni member wa "TISS" (Mwanajeshi/afisa Usalama wa taifa) na anathubutu kuzisambaza taarifa zile bila woga dhidi ya fulani au yeye mwenyewe. Inamaana vitengo hivyo vimekuwa poapoa tu kiasi kwamba hata ule usiri haupo tena? Yaan TISS siku hizi anafahamika kizembe tu kama katibu kata wa kawaida au mwenyekiti wa serikali ya mtaa.
Mnafkiri kwanini ongezeko la watu wajingawajinga wa namna hii linakuwa kwa kasi hapa nchini?!...Ni ukosefu wa ajira kiasi kwamba mtu/watu wanaona huko ni sehemu bora na salama zaidi. au kutafuta kuogopeka au ni kutest mitambo kama waswahili wasemavyo uone nini kitatokea? Au wao wenyewe TISS, na vyombo vingine vya usalama wanaachia hali hii iendelee na vitengo hivi nyeti viendelee kuonekana ni kitu cha kawaida au mihemko tu?
Sijui kama watu wa namna hii kama wanaitambua hatari yake pale ambapo wao wenyewe wakiamua kukuchukua/kuwachukua na kukuweka/kuwaweka chini ya ulinzi kwenye machimbo yao wanayoyajua wao wenyewe na serikali yao.
Tafadhali TISS ni vyema mkashughulika na hili rasmi ingawa mnashughulika na critical issues, this is terrible!
Nakupenda Tanzania! 🇹🇿❤💪🏾
Mapunguwani wako wengi TzWajinga ni wengi
Kwani hata wakisema hivyo na wewe ni raia mwema una shida gani!Habari za leo wanajamvi!

Hata muuza karanga anaweza kua usalama!Usalama wa taifa naonaga hawanaga sare afu wengi hujichanganya tu unaeza kuta hata watch man ni usalama wa taifa
Mbona mwendazake wa Rondo alikuwa akijitambulisha kwa tittle ya Jasusi/kachero mbobezi?Inamaana mpaka umri huo uliofikia wewe hujui kama mambo hayo ni nyeti na si ya kuropokwa hovyo ?!
Tulia usome tena uzi kwa makini utauelewa. Alafu kaa utafakari huyo unayemzungumzia hapo alikuwa mtu hopeless kama unavodhani wewe?!Mbona mwendazake wa Rondo alikuwa akijitambulisha kwa tittle ya Jasusi/kachero mbobezi?
NI KWELI KABISA!... lakini hawezi kusema katu!Hata muuza karanga anaweza kua usalama!
Unaweza kuja PM tuyajenge kamanda?! 🤔Vijana wengi wamekuwa wajinga kwa ugoi goi walionao
Hivyo kutokana na uvivu unaochangiwa na udumavu wa Fikra wanapenda kukaa vijiweni kucheza kamali na kubet, kwa kuzoea vya bure ndio ujikuta wanafanya vitendo vya uharifu kwa kuibia wananchi kwa kujifanya maafisa usalama.... Nina washkaji zangu watatu wamejichanga changa wameshota kaunda zao, wanapiga pesa za wajinga kama hawana akili nzuri...
ila naamini ipo siku moja inakuja kwao
Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
inaitwa "Mgeni njoo mwenyeji apone" 😂Hahahaha Dodoma kila mtu yupo kwenye system
🤔🤔🤔 nini kifanyike komredi?!Wapo wanaofika mbali kufanyia watu ubabe au unyang'aji na huku wakitoa vitisho, dhihaka na kujinadi au kutafuta sifa kwamba yeye/wao ni.......hapo ndo mkakati husika
Ushamba, ujinga, kujimwambafai, utoto, utapeli, wizi....Habari za leo wanajamvi!