Kwanini watu wengi siku hizi hujifanya ni usalama wa taifa, askari au wanajeshi?

wanadhani ni sifa kumbe uzwazwa tu, kama zamani mtu anajiita mzungu.
Na hawanaga hela hawa jamaa... ni kukopa tu na kuombaomba

Akishajinadi anakuita pembeni anakusaundisha alafu anakukopa... maneno meeeengi kama maneno 10 wa jambo na vijambo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kwa payroll zile TISS awe na njaa za kukopa hovyo kitaa?! πŸ˜³πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸΎ
 
Samahani.... uko timamu mkuu?! Au unatumia simu ukiwa ushapendeza tayari?! πŸ˜€

Nani kakasirika hapo?! Inamaana huoni kuna compliment yenye swali juu yako na jibu vilevile?!

Una umri gani na elimu gani komredi?! πŸ˜€
Ukijibiwa hayo maswali hautokasirika?Maana nina majibu yenye kuudhi tu.
 
Wapo wanaofika mbali kufanyia watu ubabe au unyang'aji na huku wakitoa vitisho, dhihaka na kujinadi au kutafuta sifa kwamba yeye/wao ni.......hapo ndo mkakati husika
 
Kwani hata wakisema hivyo na wewe ni raia mwema una shida gani!
 
Vijana wengi wamekuwa wajinga kwa ugoi goi walionao
Hivyo kutokana na uvivu unaochangiwa na udumavu wa Fikra wanapenda kukaa vijiweni kucheza kamali na kubet, kwa kuzoea vya bure ndio ujikuta wanafanya vitendo vya uharifu kwa kuibia wananchi kwa kujifanya maafisa usalama.... Nina washkaji zangu watatu wamejichanga changa wameshota kaunda zao, wanapiga pesa za wajinga kama hawana akili nzuri...
ila naamini ipo siku moja inakuja kwao

Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
 
Mbona mwendazake wa Rondo alikuwa akijitambulisha kwa tittle ya Jasusi/kachero mbobezi?
Tulia usome tena uzi kwa makini utauelewa. Alafu kaa utafakari huyo unayemzungumzia hapo alikuwa mtu hopeless kama unavodhani wewe?!

Ukihisi alikuwa akijikweza tafuta Biography yake uisome kwa makini

Na ujiulize kama kweli alikuwa akijikweza kwanini hawakumpa onyo wao wenyewe?! Na kwanini aliachiwa na kupewa airtime aongee hovyo?!
 
Hata muuza karanga anaweza kua usalama!
NI KWELI KABISA!... lakini hawezi kusema katu!

Nawazungumzia hawa wajinga piga na wapoteza matumaini wanaolazimisha kuogopeka mtaani.
 
Unaweza kuja PM tuyajenge kamanda?! πŸ€”
 
Wapo wanaofika mbali kufanyia watu ubabe au unyang'aji na huku wakitoa vitisho, dhihaka na kujinadi au kutafuta sifa kwamba yeye/wao ni.......hapo ndo mkakati husika
πŸ€”πŸ€”πŸ€” nini kifanyike komredi?!
 
Utawajua hao DSO,RSO lakini wale wenyewe hutawajua mpaka unakufa.Na hutakuwi kuwajua.Jidanganyeni tu hapa.
 
Ushamba, ujinga, kujimwambafai, utoto, utapeli, wizi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…