Kwanini Watu wenye sifa nzuri kama uzuri na uhandsome au utajiri husemwa kwa mabaya? Je, ni wivu kwa waliokosa sifa hizo?

Wivu tu ni kawaida ya binaadamu hawapendi kuona vitu vizuri

Mimi naamini kila mtu anajambo zuri la kujivunia ambalo Mungu kampa.

Mfano Kipaji, nguvu, akili, uzuri, Γ»kakamavu n.k.

Kwa nini mtu aone wivu kwa majaliwa ya wengine badala ya kufurahia majaliwa yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…