Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kuna kenge wameanza kujua kusoma na kuandika.Ningekuwa na tabia za kenge ningeweza kuandika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kenge wameanza kujua kusoma na kuandika.Ningekuwa na tabia za kenge ningeweza kuandika?
Aaiiii hata wewe MNEK?? Kwanza badili hiyo avatar inanitisha mie 😂😂Ni kweli mkuu.
Hii ni changamoto tunayokutana nayo mahandsome.
Ila ni maeneo ya uswahilini tu mkuu.
Ukiwa upo matawi watoto wa kishua huwa wanapenda sana handsome boys.
Uswahilini kuna wivu na chuki kali sana.
Jitahidi usiishi uswahilini ni kama kuna laana flani hivi.
Tunaishi maisha magumu sana mtaani.Aaiiii hata wewe MNEK?? Kwanza badili hiyo avatar inanitisha mie 😂😂
Haya basi, suala la kubadili avatar tumefikia wapi?Tunaishi maisha magumu sana mtaani.
The Uhendisamu unatutesa.
Wenye sura ngumu wanaona tunafaidi sana hivyo lazima wachafue kujilinda.
Nichagulie nitaiweka.Haya basi, suala la kubadili avatar tumefikia wapi?
Ngoja nitafute ntakutumia inayoendana na uhandsome wako.Nichagulie nitaiweka.
Naisubiria kwa hamu.Ngoja nitafute ntakutumia inayoendana na uhandsome wako.
Hawa wapuuzi huwq wana pretend wanakuchukia but ukiwakazia vizuri utawaona walivyo dhaifu, huanza kufanya kila unachofanya ni viumbe dhaifu sana kisaikolojia.Ni kweli mkuu.
Hii ni changamoto tunayokutana nayo mahandsome.
Ila ni maeneo ya uswahilini tu mkuu.
Ukiwa upo matawi watoto wa kishua huwa wanapenda sana handsome boys.
Uswahilini kuna wivu na chuki kali sana.
Jitahidi usiishi uswahilini ni kama kuna laana flani hivi.
Naww upo gizani pia 🤣🤣🤣🤣Waafrika tunatabia ya kujisifia udhaifu na ûjinga ndio maana ni bara lenye giza.
Wanakua wanakutamani ila ukiwaweka karibu wanaanza kujaa.Hawa wapuuzi huwq wana pretend wanakuchukia but ukiwakazia vizuri utawaona walivyo dhaifu, huanza kufanya kila unachofanya ni viumbe dhaifu sana kisaikolojia.
Huko uzunguni kwenyewe waswahili washafika siku hizi... Nilishangaa sana kukuta vijiwe vya bodaboda Masaki, Mbezi, Upanga na Mikocheni.... Mama ntilie nao bila haya wamejazana huko, sasa sijui ni kutafuta sifa anafanyia biashara Masaki, Mikocheni na Upanga au ni kweli kuna walaji mabarabarani na wapanda bodaboda huko... Mungu na wao wenyewe ndo wanajua.Ni kweli mkuu.
Hii ni changamoto tunayokutana nayo mahandsome.
Ila ni maeneo ya uswahilini tu mkuu.
Ukiwa upo matawi watoto wa kishua huwa wanapenda sana handsome boys.
Uswahilini kuna wivu na chuki kali sana.
Jitahidi usiishi uswahilini ni kama kuna laana flani hivi.
Naww upo gizani pia 🤣🤣🤣🤣
Sawa Taa 😸😸Mimi ni taa kwenye giza
Hapa tunazungumzia wale natural handsome kwa kuzaliwa na sio kujiita.Sijui kwa hao wengine ila ukiona mwanamme unaanza kujiita handsome boy(wewe ndo unajiita sio waanawake wanakuita) mara nyingi unakuwa hatua moja kabla ya kuanza kuliwa jicho. Wengi wanaojiita mahandsome ukiwauliza demu wako yuko wapi huwa hawana majibu ya kuridhisha.
Cc. Ni yule yule super handsoome
They pretend they hate you but deep inside they want to be just like you, dawa yao ni moja tu usiwe na habari nao, waache waendelee kuteseka kila wakikuona.Wanakua wanakutamani ila ukiwaweka karibu wanaanza kujaa.
Sijui kwa hao wengine ila ukiona mwanamme unaanza kujiita handsome boy(wewe ndo unajiita sio waanawake wanakuita) mara nyingi unakuwa hatua moja kabla ya kuanza kuliwa jicho. Wengi wanaojiita mahandsome ukiwauliza demu wako yuko wapi huwa hawana majibu ya kuridhisha.
Cc. Ni yule yule super handsoome
Sawa Taa 😸😸
Wivu tu ni kawaida ya binaadamu hawapendi kuona vitu vizuriHabari za jumapili!
Ni wivu katika jamii au ni jambo gani?
Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika,
Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k?
Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti. Ukipita maeneo yenye madanguro au kwenye dadapoa ni nadra kuona hao Wadada wàzuri. Wengi waliopo ni wakawaida au wenye mionekano isiyovutia.
Au ni kwa nini wanaume Handsome hûjikuta wakipewa maneno makali kama kuhusishwa na ushoga au umario kutoka kwa wale ambao hakubahatika kuwa na mvuto au ambao hawajaolewa na wanaume wenye mvuto. Au hawajabahatika kupata watoto wakiume Handsome.
Tukija kwenye suala la ushoga hata hapa Bongo wale mashoga ambao tayari wameshajipambanua mitandaoni au kwenye vyombo vya habari asilimia 90 sio Handsome. Hatà video zinazovuja mfano ile video ya askari wa Zanzibar pale hakuna Handsome.
Je ni wivu au roho mbaya kwa waliojaliwa. Au mti wenye matunda ndio hupigwa mawe?
Watu wenye utajiri huhusishwa na mambo mabaya kama mauaji, utoaji wa kafara, sîjui freemason, sijui uuzaji wa madawa ya kulevya, kwenda kwa waganga ni.k.
Lakini ukija kwenye utafiti utagundua kuwà Maskini ndio wauaji wakubwa kuliko matajiri. Ripoti zinazotoka kila siku za mauaji kwenye jamii yetu hutoka kwa maskini zaidi kuliko matajiri.
Kuhusu kwenda kwa waganga wa kienyeji maskini wanaongoza. Kuhusu uuzaji wa madawa ya kulevya pia maskini wanaongoza kuanzia ûuzaji wa mirungi, bangi, gongo kote huko maskini anaongoza
Kwanini wenye waliojaliwa wasemwe vîbaya. Ni wivu au kitu gani?
Kwenu wachangiaji.
Hiyo ndio dawa yao mkuu.They pretend they hate you but deep inside they want to be just like you, dawa yao ni moja tu usiwe na habari nao, waache waendelee kuteseka kila wakikuona.