Kwanini watumiaji wa simu za itel, Tecno na Infinix wanadharaulika sana Dar?

Ukitumia samsung hutakuja kutumia tena hizo aina zingine tatu za simu, yaani utaona takataka kabisa.
 
Simu ni yangu halafu mtu aidharau!! Sio shida zangu kabisa.

Niko hapa na katekno tangu saaafi kabisa.
Ukiishi maisha ya kuwasikiliza watu na kuruhusu wakupangie nini cha kuwa nacho, watakwambia mkeo mbaya mwache, shule wanayosoma watoto wako mbaya, nyumba yako ina rangi isiyo na mvuto, imani yako haifai etc
 
Hata hao wazungu unaowaongelea hawapendi kutumia vitu vya poor quality. Ndio maana hata Ulaya watu wanatumia simu bora kama iPhone, Samsung, Xiaomi, Oppo, Vivo, Huawei, Realme na sio Tecno, Infinix na itel
So Mwafrika kudharau TECNO ni halali yake, yaani tukubali kutumia simu mbaya eti kisa Afrika hatutengenezi simu. Huu ushuzi gani umeandika[emoji38][emoji38]
Ilimradi hela yangu imenitoka, siwezi kukubali kununua poor quality products
 
😁😁😁😁😁daah i phone anamwona sumsung sio kitu sumsung anavimba na pixel pixel anakomaa na Huawei Huawei na anakomaa na Tecno Tecno anakomaa na Vivo Vivo anakomaa na itel ni vita...
 
Ukianza kuona mtu anafuatilia mwenzake anatumia simu gani basi jua huyo ni mpumba.vu na kama ni mwanaume basi anaweza kuwa shoga!
Kila mtu ana mahitaji yake na uwezo wake! Ndio maana ukiangalia barabarani kuna wanaoendesha IST na kuna wanaoendesha Range Rover , VX V8, cha msingi kila mtu ana destination yake!
 
Tecno yangu mwaka wa 5 unakamilika sasa ,,, napata huduma zote za msingi kwenye simu!
Sina stress nyie endeleeni na Samsung zenu mpate kila mioyo yenu inataka
Unakaaje na simu miaka 5?
 
Sawa tuu Kama hata mtu akiwa na iPhone 13 huku Hana marinda Ni msiba,acha tubaki na vitochi vyetu,tunasomesha watoto watatu Ada 1500000*3,unapatsje muda wa kuwaza Mambo ya simu
Kwamba kila mwenye iphone kafirwa?
 
Ukichunguza wengi wanaodharau wenzao kwa aina ya simu ni mashoga chunguza hata kwenye huu uzi utajifunza mashoga washajitokeza
Ushaolewa? Maana kuna uzi umesema hijaolewa bado
 
Ushaolewa? Maana kuna uzi umesema hijaolewa bado
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Upo huku kujua nani kaolewa na nani hajaolewa au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi siwezi olewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…