Corona ni kama mafua tu boss ukiwa na afya njema haiwezi kukutikisa ila ukiwa na afya kama huyu miss pablo jiandae kwa lolote hata kama ukipata hiyo J&JKabisa kabisa mkuu. Basi punguza hasira ndugu yangu. Maisha yenyewe haya mafupi sana na kila siku linatokeza janga jingine la kupukutisha watu. Sasa hivi corona inatosha, hebu bastola tuziweke kando kwanza
Mkuu tueleze hapa huezi jua utatusaidia wangapiNaiomba PM nitakuelekeza ni wapi uende utapata msaada wa haraka,
Nyoo. Ona ulivyo na ushamba. Sisi tunahonga kijana. Ukicheza na mimi na wewe nitakuhonga vilevile nikuoe. Mshamba wa mwishoSio wanawake wote wana tabia za ulimbukeni na tamaa za pesa kama wewe, hivyo usipende kuwasemea wanawake wengine jisemee wewe binafsi kuwa ukihongwa wekundu watatu unaachia orifice [emoji28][emoji28]
Una hela gani wewe? Jitahidi kuzihurumia sehemu zako za siri usikute hata nimekutafuna kimasihara 😅😅Nyoo. Ona ulivyo na ushamba. Sisi tunahonga kijana. Ukicheza na mimi na wewe nitakuhonga vilevile nikuoe. Mshamba wa mwisho
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Low ethics, low wages, employment by undugunization, high Life with low wages,Nimekaa nikajiuliza sana kwanini watumishi wengi wa idara nyeti (wengi mtakuwa mmenisoma na maanisha nini), watu hawa ukiangalia kazi wanayofanya na maisha yao mtaani ni vitu viwili tofouti kabisa maana vijana hawa wamejawa na tamaa hadi kufikia kutapeli watu hovyo mtaani kwa kigezo cha kufanya kazi katika taasisi nyeti hiyo na bila aibu wamekuwa wakionesha vitambulisho vyao hovyo kwenye kumbi za starehe pindi wakilewa.
Swali langu kwa viongozi wa taasisi hii nyeti, Kama mtumishi wa idara hii anaweza kuwatapeli watanzania wenzake, je akikutana na watu wa nchi nyingine ambapo ilitokea akalambishwa dollar je mna uhakika gani mtu huyuhuyu ambaye anaweza kujianika mbele ya wahudumu wa baa kuwa hawezi kuuza siri za nchi kwa thamani ya vipande vya fedha?
Au taasisi hii nyeti inaruhusu watumishi wake kufanya dhuluma kwa watanzania kwa kigezo cha kufanya kazi huko?
Ombi, langu kwa taaisisi hii nyeti wajitahidi kuwaboreshea maisha watumishi wao kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizi maana vijana hawa hawa hawakawii kuuza siri za taifa hili kwa maadui kwa kigezo cha maslahi.
Shida ni ccm mkuuNimekaa nikajiuliza sana kwanini watumishi wengi wa idara nyeti (wengi mtakuwa mmenisoma na maanisha nini), watu hawa ukiangalia kazi wanayofanya na maisha yao mtaani ni vitu viwili tofouti kabisa maana vijana hawa wamejawa na tamaa hadi kufikia kutapeli watu hovyo mtaani kwa kigezo cha kufanya kazi katika taasisi nyeti hiyo na bila aibu wamekuwa wakionesha vitambulisho vyao hovyo kwenye kumbi za starehe pindi wakilewa.
Swali langu kwa viongozi wa taasisi hii nyeti, Kama mtumishi wa idara hii anaweza kuwatapeli watanzania wenzake, je akikutana na watu wa nchi nyingine ambapo ilitokea akalambishwa dollar je mna uhakika gani mtu huyuhuyu ambaye anaweza kujianika mbele ya wahudumu wa baa kuwa hawezi kuuza siri za nchi kwa thamani ya vipande vya fedha?
Au taasisi hii nyeti inaruhusu watumishi wake kufanya dhuluma kwa watanzania kwa kigezo cha kufanya kazi huko?
Ombi, langu kwa taaisisi hii nyeti wajitahidi kuwaboreshea maisha watumishi wao kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizi maana vijana hawa hawa hawakawii kuuza siri za taifa hili kwa maadui kwa kigezo cha maslahi.
Jinga lingine hili hapa, kwa comparison ya ajira za kitanzania wanajeshi wanapokea mishahara mizuri tu usidanganywe na mtu.Sasa kama unafanya kazi nyeti lakini choka mbaya vimishahara vya kuungaunga kwa tozo unawezaje kuacha kuwa tapeli? ni kama Jeshini tu askari wana maisha magumu sana ukiacha wale wakubwa ambao wana mishahara mikubwa na marupurupu mbalimbali, huwezi kuishi bila kuwa tapeli wakati unataka ujenge nyumba nzuri, uendeshe gari zuri lakini pia viwanja unavyotembelea vyote ni vile classic haiwezekani, ukiwaambia walime vitunguu ama wafuge kuku hawataki kisa wao ni nyeti kuliko nyeti zenyewe. Kuna mmoja anabanduliwa na dogo yaani anakuaga hana hata mia mfukoni , full mizinga ,kujigamba tu ooh najua mambo mengi sijui nini lakini mfukoni mweupeeee
masikini wewe kwahiyo posho ya laki tatu ndio hela , acha ujinga wewe tunaongelea mishahara duni hivi mtu analipwa laki saba sijui nane huo ni mshahara ama hela ya vocha? na bado anakitambi eti, stupid , they dont think PERIODJinga lingine hili hapa, kwa comparison ya ajira za kitanzania wanajeshi wanapokea mishahara mizuri tu usidanganywe na mtu.
Hao Polisi unaowaona wanaendekeza njaa ukae ukijuwa, kila Polisi anapokea posho ya shilling laki tatu kila mwezi bila kujari cheo, na hii ni nje ya mishahara yao ambayo kila mtu analipwa kutokana na level yake.
Atakujaza ujinga na chuki tu hana cha kukueleza jinga tu hilo.Mkuu tueleze hapa huezi jua utatusaidia wangapi
Tena hiyo nyingi sana, wafanyakazi wengi kwa wahindi na ndio wameajiri watu wengi mishahara yao ni laki mbili kwa mwezi.masikini wewe kwahiyo posho ya laki tatu ndio hela , acha ujinga wewe tunaongelea mishahara duni hivi mtu analipwa laki saba sijui nane huo ni mshahara ama hela ya vocha? na bado anakitambi eti, stupid , they dont think PERIOD
Sibishani na wewe kwakua wewe ndio wale wale narudia tena wewe ni masikini, kuna hao wenzio wanakopa bia tu kila siku huku kwenye vijiwe vyetu, kwa taarifa yako naweza kuwaajiri nyie hata kumi na nawalipa mshahara mzuri tu, sio kila mtu kaajiriwa kwenye vijiserikali vyenu masikini, we unajua watumishi wa umma nchini wako wangapi ukilinganiasha na watu zaidi ya milioni 60 ambayo ndio population ya Tanzania na bado hao wachache wanawashinda kuwalipa vizuri. SHAME masikini hata uwezo wa kufikiria ni mdogo unadhani sekta nyeti huko walikoendelea wanalipwa vijilaki kama weweTena hiyo nyingi sana, wafanyakazi wengi kwa wahindi na ndio wameajiri watu wengi mishahara yao ni laki mbili kwa mwezi.
Wajinga kama wewe ndio wamesababisha sekta binafsi kuwaamini Wakenya kwa sababu ya ujinga wenu wa kutajirika over night.
Hao unaowadharau wenzako wana Saccoo na mikopo isiyokuwa na riba wanafanya mambo yao kimyakimya.
Unazidi kuprove jinsi ulivyo limbukeni.Una hela gani wewe? Jitahidi kuzihurumia sehemu zako za siri usikute hata nimekutafuna kimasihara [emoji28][emoji28]
Jamaa mshamba sana. Nitajamuoa akicheza na mimi. Hiyo bastola nakuambia hanaaa... mwenye nayo hajibrag hivyoo. Na anaprove jinsi gani ni mshamba kama anaimiliki kweli basi ni jinsi gani watoaji wana makosa..miss pablo[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaana mefanya as if wanapokea flat rate. Hajui hadi kuna mashoe shiner wana life kubwa tu[emoji23] halaf alitaka mtu anaanz akazi tu alipwe milion 10 ama? Hajui kuna levels? Huyu wamemlia mkewe. Na akicheza watamuhamisha mazimaAtakujaza ujinga na chuki tu hana cha kukueleza jinga tu hilo.
Hapo alipo wala hajui kuna madaktari maafisa usalama na wanalipwa mishahara kwa level zao za Kidaktari, wapo mainjinia vivyo hivyo, wapo wahasibu na CPA zao halafu jinga moja linakuja na ngonjera za one size fit all kisa kagongewa demu na uvccm anayevaa kaunda suti na beji ya bendera ya Tanzania, bure kabisa huyu dogo.
Mimi niko real siku zote, kwa sisi wanywaji bia kukopa ni kawaida sana tena, na ukiona hukopeshwi wewe si mteja na huna jina hapa mjini.Sibishani na wewe kwakua wewe ndio wale wale narudia tena wewe ni masikini, kuna hao wenzio wanakopa bia tu kila siku huku kwenye vijiwe vyetu, kwa taarifa yako naweza kuwaajiri nyie hata kumi na nawalipa mshahara mzuri tu, sio kila mtu kaajiriwa kwenye vijiserikali vyenu masikini, we unajua watumishi wa umma nchini wako wangapi ukilinganiasha na watu zaidi ya milioni 60 ambayo ndio population ya Tanzania na bado hao wachache wanawashinda kuwalipa vizuri. SHAME masikini hata uwezo wa kufikiria ni mdogo unadhani sekta nyeti huko walikoendelea wanalipwa vijilaki kama wewe
Huyu Diwani Athumani ni Tiss kitambo tu, nchi ilivyokabidhiwa kwa washamba akapigwa demotion ya kuwa RAS huko katavi, kumbe yule mzee wa chuki hakujuwa kwamba huyu jamaa ni kazi maalum ndipo akaumwa sikio hapo umechemka huyo ni kitengo, Finally Diwani amerudi nyumbani ndio DG wa TISS sasa.Yaana mefanya as if wanapokea flat rate. Hajui hadi kuna mashoe shiner wana life kubwa tu[emoji23] halaf alitaka mtu anaanz akazi tu alipwe milion 10 ama? Hajui kuna levels? Huyu wamemlia mkewe. Na akicheza watamuhamisha mazima
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mmmh uandishi wako ni wa kiume! Mbona umeumia hivyo? Kulikoni?Jamaa mshamba sana. Nitajamuoa akicheza na mimi. Hiyo bastola nakuambia hanaaa... mwenye nayo hajibrag hivyoo. Na anaprove jinsi gani ni mshamba kama anaimiliki kweli basi ni jinsi gani watoaji wana makosa..
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app