Sasa kama unafanya kazi nyeti lakini choka mbaya vimishahara vya kuungaunga kwa tozo unawezaje kuacha kuwa tapeli? ni kama Jeshini tu askari wana maisha magumu sana ukiacha wale wakubwa ambao wana mishahara mikubwa na marupurupu mbalimbali, huwezi kuishi bila kuwa tapeli wakati unataka ujenge nyumba nzuri, uendeshe gari zuri lakini pia viwanja unavyotembelea vyote ni vile classic haiwezekani, ukiwaambia walime vitunguu ama wafuge kuku hawataki kisa wao ni nyeti kuliko nyeti zenyewe. Kuna mmoja anabanduliwa na dogo yaani anakuaga hana hata mia mfukoni , full mizinga ,kujigamba tu ooh najua mambo mengi sijui nini lakini mfukoni mweupeeee