Wazo zuri ivii kwani riba ndio chanzo cha kuwa na halingumu ya maisha??Solution ni moja tu.
Serikali izuie benki za kibiashara na taasisi za kifedha kukopesha watumishi badala yake huo mzigo wa kuwakopesha watumishi ubaki mikononi mwa serikali. Mikopo isiwe na riba maana tunakopeshwa MISHAHARA yetu ambayo ni haki zetu
Serikali yenyewe inakopa kwa riba toka kwa mabepari wewe mfanyakazi wa serikali unataka ukope bila riba serious?Solution ni moja tu.
Serikali izuie benki za kibiashara na taasisi za kifedha kukopesha watumishi badala yake huo mzigo wa kuwakopesha watumishi ubaki mikononi mwa serikali. Mikopo isiwe na riba maana tunakopeshwa MISHAHARA yetu ambayo ni haki zetu
Serikali yenyewe duni unataka wafanyakazi wake wasiwe duni? Hadi pale tutapokua na uchumi imara ndio wafanyakazi watapata ahueni kwanza nje ya mshahara kila mtumishi ana haki ya pesa ya usafiri, pesa ya makazi, pesa ya muda wa ziada kazini, pesa ya kuitwa kazini kwa dharula, pesa ya mawasiliano, lakini zote hizo wanapata wachache walimu, manesi, polisi, maafisa kilimo sidhani kama wanapata hizo
Ndio.Wazo zuri ivii kwani riba ndio chanzo cha kuwa na halingumu ya maisha??
Kuna taasisi mpaka walinzi tuna posho ya usafiri, chakula na overtime.
Msikubali kuajiriwa na kila taasisi maadamu tu unataka check number.
Samahani, naomba kufahamu status yako, plus hali ya kimaisha!Habari za kazi wanajamvi...
Kiuhalisia swala la watumishi kuwa na madeni kila kona ni jambo la kawaida sanaaa... na hili linanipa maswali mengi sana bila majibu kwasababu watumishi wa vyeo vya juu na kwa uchache wanahali nzuri ya kiuchumi ila wengi hawana haki nzuri Tatizo liko wapi..?? Na nini kifanyike kutatua swala hilii??
Nakaribisha mawazo yako ili wote tujifunze ili iwe msaada kwa watumishi wa serikali na wasio watumishi wa serikali.
Akili zao zimelalaHabari za kazi wanajamvi...
Kiuhalisia swala la watumishi kuwa na madeni kila kona ni jambo la kawaida sanaaa... na hili linanipa maswali mengi sana bila majibu kwasababu watumishi wa vyeo vya juu na kwa uchache wanahali nzuri ya kiuchumi ila wengi hawana haki nzuri Tatizo liko wapi..?? Na nini kifanyike kutatua swala hilii??
Nakaribisha mawazo yako ili wote tujifunze ili iwe msaada kwa watumishi wa serikali na wasio watumishi wa serikali.
Toka lini mwajiri akakulipa kiasi kikubwa cha pesaHabari za kazi wanajamvi...
Kiuhalisia swala la watumishi kuwa na madeni kila kona ni jambo la kawaida sanaaa... na hili linanipa maswali mengi sana bila majibu kwasababu watumishi wa vyeo vya juu na kwa uchache wanahali nzuri ya kiuchumi ila wengi hawana haki nzuri Tatizo liko wapi..?? Na nini kifanyike kutatua swala hilii??
Nakaribisha mawazo yako ili wote tujifunze ili iwe msaada kwa watumishi wa serikali na wasio watumishi wa serikali.
Kuna mzee mmoja niliwahi kutana naye 2009 wakati nilipoenda kupiga kimeo cha computer maintenanceHabari za kazi wanajamvi...
Kiuhalisia swala la watumishi kuwa na madeni kila kona ni jambo la kawaida sanaaa... na hili linanipa maswali mengi sana bila majibu kwasababu watumishi wa vyeo vya juu na kwa uchache wanahali nzuri ya kiuchumi ila wengi hawana haki nzuri Tatizo liko wapi..?? Na nini kifanyike kutatua swala hilii??
Nakaribisha mawazo yako ili wote tujifunze ili iwe msaada kwa watumishi wa serikali na wasio watumishi wa serikali.
Dah umekomenti kibwege Sana ila Ni ukweli Mchungu...Tumezunguzwa na waombaji na kuwanyima Ni ngumu Sana...hapo kutoboa Ni mbindeNi kwa sababu matumizi yetu yanazidi kipato af mambo mengi tumezungukwa na masikini wengi mno na wengine hatuna choyo lazima tuwafurahishe tuombwe pesa
Kwaiyo wakikopeshwa na Serikali, Serikali haita wakata kila mwezi kulipia mikopo yao?Solution ni moja tu.