Mr IQ
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 1,024
- 1,377
- Thread starter
- #81
Hili linawagusa sana walimuIla tusisahau kuna mapepo na uchawi katika familia kuna wabaya wanaroga, wanachukua nyota za watu, wanawatesa, nyie mnaona mwana anazingua pombe, mademu, usharo, pesa haikai kumbe kawekwa chuma ulete nafsi yake.
Mshukuru sanq mola wako kama una hali nzuri ya maisha.
Wengine aina ya wake zao sio, waume sio mambo ni mengi sana.
Tujipambanie sana kilq wakati fanyq check up ili mradi hurogi mtu wala huna husda pambana sana haya maisha ni battle kubwa hii ina wagusa sana walimu