Inategemea upo sekta ipi ya serikaliniHabari za kazi wanajamvi...
Kiuhalisia swala la watumishi kuwa na madeni kila kona ni jambo la kawaida sanaaa... na hili linanipa maswali mengi sana bila majibu kwasababu watumishi wa vyeo vya juu na kwa uchache wanahali nzuri ya kiuchumi ila wengi hawana haki nzuri Tatizo liko wapi..?? Na nini kifanyike kutatua swala hilii??
Nakaribisha mawazo yako ili wote tujifunze ili iwe msaada kwa watumishi wa serikali na wasio watumishi wa serikali.
Suala liko hivii...Habari za kazi wanajamvi...
Kiuhalisia swala la watumishi kuwa na madeni kila kona ni jambo la kawaida sanaaa... na hili linanipa maswali mengi sana bila majibu kwasababu watumishi wa vyeo vya juu na kwa uchache wanahali nzuri ya kiuchumi ila wengi hawana haki nzuri Tatizo liko wapi..?? Na nini kifanyike kutatua swala hilii??
Nakaribisha mawazo yako ili wote tujifunze ili iwe msaada kwa watumishi wa serikali na wasio watumishi wa serikali.
Hapo kuna ukweli fulani hivi. Enzi zetu za Mwalimu Nyerere mfanyakazi wa serikali alikuwa hawazii kuwa na gari lakini leo hii kijana akishapata ajira tu anakwenda kuchukua mkopo wa gari na hajui kwamba pale ni kujifilisi tu.Ni kwa sababu matumizi yetu yanazidi kipato af mambo mengi tumezungukwa na masikini wengi mno na wengine hatuna choyo lazima tuwafurahishe tuombwe pesa
Kwa mfano mimi binafsi bado mwajiriwa mpya per diem yangu bado 80k tuombe mpya ya mama irudi ya 150k...sasa imagine niko field ya siku 14...Dah umekomenti kibwege Sana ila Ni ukweli Mchungu...Tumezunguzwa na waombaji na kuwanyima Ni ngumu Sana...hapo kutoboa Ni mbinde
Kweli aseee tena naonea sana huruma hawa wa local government ambao sio wakuu wa idara.hawana posho za kuelewekaHapo kuna ukweli fulani hivi. Enzi zetu za Mwalimu Nyerere mfanyakazi wa serikali alikuwa hawazii kuwa na gari lakini leo hii kijana akishapata ajira tu anakwenda kuchukua mkopo wa gari na hajui kwamba pale ni kujifilisi tu.
Pia atataka maishaa makubwa kuliko kiwango chake na mpango wa kuweka akiba hana hata kidogo wakati umri ndiyo unakwenda.
Aidha humu vijana wengi hujisifia mipango yao ya kando na fedha wanazohonga hao akina dada bila ya kujali familia.
Vijana amkeni na muhakikishe munasave hata kama ni shilingi elfu kumi kwa mwezi siyo usubiri pension tu.
Sasa si upate hata hicho cha kuiba? Ukiwa mwalimu wa primary utaiba nini sasaMimi nimejaribu kuwasemea waajiriwa tu wa Tanzania ambao wanakufa wakiwa na miaka 30 na kuzikwa wakiwa na miaka 60 , yaani watumishi wana mizigo ya madeni na ndio maana wengi huishia kua wezi tu wa mali ya umma
Ila walimu posho zao si tuisheniSasa si upate hata hicho cha kuiba? Ukiwa mwalimu wa primary utaiba nini sasa
....Umemaliza....Toka lini mwajiri akakulipa kiasi kikubwa cha pesa
1. Mwajiri anakulipa fedha ya kufanya uweze kula.
2. Uweze kununua nguo nadhifu ili uwavutie wengine kuajiriwa.
3. Uweze kupata matibabu ya kawaida
4. Uweze kujenga kibanda sio nyumba ya maana ili uweze kuishi humo na kufuga mabata, kulima mchicha.
5. Utapata mikopo yenye riba kubwa ili uwe mtumwa wa kudumu.
6. Ukionekana una mishe binafsi za kukuingizia kipato au kumiliki mali kama magari nyumba nzuri wanakuundia zengwe ili waweze kuharibia ramani zako.
Kwa ujumla kuajiriwa ni utumwa flani unafichwa na mshahara mdogo.
Kuajiriwa ni kimbilio la waoga wa maisha
Benki mdanyakazi akikopa 10 ml. ndani ya miaka 7 atakatwa katiba milioni 20. Sasa hii maana yake ni kwamba huyo mdanyakazi angekopeshwa bila riba za hovyo angeweza kupata million 20.Kwaiyo wakikopeshwa na Serikali, Serikali haita wakata kila mwezi kulipia mikopo yao?
Hizo ndo point na ile mentally kwamba mwisho wa mwezi si ntapata tu ...kuna watu Wana safari daily ila pesa haikai wao ni hanasa tu .Kuna mzee mmoja niliwahi kutana naye 2009 wakati nilipoenda kupiga kimeo cha computer maintenance
kwenye wizara yao wakati tumekaa baada ya kazi kwisha katika kupiga stori akaniambia unajua kwanini sisi wafanya kazi wa serikali hatuna maisha ? nikamwambia sijui.. akaniambia.. Ni kwasababu tukiwa humu ofisini tunakuwa kama wafu vile akili zinakuwa zimepofushwa, akili ya kuzalisha katika ziada nje ya ofisi inatoweka katika kipindi chote cha utumishi wako, pili hii michezo ya kuiba iba hela za selikali unafanya watumishi wengi kuishi kwenye laana sana si kwa mtumishi anayeiba hizo hela tu mpaka familia yake, tatu ukiwa ofisi za serikali ukaanza kuishi maisha ya anasa, kushiriki vitendo vya ushirikina utaishi maisha ya kimaskini au utakufa kwa ajali au ugonjwa wenye uchungu sana hata kama ulikuwa na cheo cha juu..
Lawama kibao bado ndugu eti waje hapo kuwasomesha wazazi wanakufanya kitenga uchumiAsilimia kubwa ya waajiriwa ni masikini kuanzia ngazi ya familia,hebu fikiria kijana amepata ajira familia yote inamtegemea yeye asomeshe wadogo zake,hawatunze wazazi wake malazi mavazi chakula lote ni jukumu lake na mshahara wenyewe ni laki 4 au 6 unategemea atafanya savings zipi? Ndio maana madukani wanaongoza kwa madeni.
Sasa kama hujui hao watumishi wa hali ya chini hawapati hata huo mwanya waMimi nimejaribu kuwasemea waajiriwa tu wa Tanzania ambao wanakufa wakiwa na miaka 30 na kuzikwa wakiwa na miaka 60 , yaani watumishi wana mizigo ya madeni na ndio maana wengi huishia kua wezi tu wa mali ya umma
Wanafanya top up sana kwenye mikopo wanayokopa yaani Kuna Wengine wakija ku topup mpaka tunawashauri wasifanye hivyo. Moshahara Yao midogo sana na wengi wanazaa kwa kushindana na bahati mbaya wengi wanazaa wapiga kuraaaaHabari za kazi wanajamvi...
Kiuhalisia swala la watumishi kuwa na madeni kila kona ni jambo la kawaida sanaaa... na hili linanipa maswali mengi sana bila majibu kwasababu watumishi wa vyeo vya juu na kwa uchache wanahali nzuri ya kiuchumi ila wengi hawana haki nzuri Tatizo liko wapi..?? Na nini kifanyike kutatua swala hilii??
Nakaribisha mawazo yako ili wote tujifunze ili iwe msaada kwa watumishi wa serikali na wasio watumishi wa serikali.
Ikiwa wewe ni mwajiriwa mpya huwezi kupata hiyo 150k (kwa Principal 1 na kwenda mbele) kwa hivyo usiipangie kazi ya field buree.....Kwa mfano mimi binafsi bado mwajiriwa mpya per diem yangu bado 80k tuombe mpya ya mama irudi ya 150k...sasa imagine niko field ya siku 14...
Mahitaji yangu
Lodge 20000 kwa siku
Chakula na maji 15000 kwa siku
Ukaombwa home uchangie rambirambi lets say 50000
Hapo bado una familia nyumbani umeiachaje..bando,
Nyongeza ya mshahara tatizoHabari za kazi wanajamvi...
Kiuhalisia swala la watumishi kuwa na madeni kila kona ni jambo la kawaida sanaaa... na hili linanipa maswali mengi sana bila majibu kwasababu watumishi wa vyeo vya juu na kwa uchache wanahali nzuri ya kiuchumi ila wengi hawana haki nzuri Tatizo liko wapi..?? Na nini kifanyike kutatua swala hilii??
Nakaribisha mawazo yako ili wote tujifunze ili iwe msaada kwa watumishi wa serikali na wasio watumishi wa serikali.
Riba ni katili mithili ya tozo mzigoWazo zuri ivii kwani riba ndio chanzo cha kuwa na halingumu ya maisha??
Ile rate walitupa mkuu na hata sasa nazani wanapewa taasisi nyingi chini ya maliasili na utalii rafiki zangu wanasema wanalipwa hio 150k na kwa marafiki zamgu wa ruwasa pia wanalipwa 130k na tumeajiriwa nao hata miaka mitatu bado.Ikiwa wewe ni mwajiriwa mpya huwezi kupata hiyo 150k (kwa Principal 1 na kwenda mbele) kwa hivyo usiipangie kazi ya field buree.....
- hiyo lodge ya elfu 20 sijui utaitoa wapi kwa sasa na utakapoipata basi hata mashuka hawaoshi hao utalala na kunguni.
- vyakula na hivyo vyengine labda utakula kwa mama ntilie, lakini jihadhari usije harisha ukiwa kazini....