bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Yaani daraja lenu utapata 120 au 130 ndizo rates mpya hizo. Kisheria zimeshaanza kutumika tangu July mwaka huu.Ile rate walitupa mkuu na hata sasa nazani wanapewa taasisi nyingi chini ya maliasili na utalii rafiki zangu wanasema wanalipwa hio 150k na kwa marafiki zamgu wa ruwasa pia wanalipwa 130k na tumeajiriwa nao hata miaka mitatu bado.
Chaki na futioSasa si upate hata hicho cha kuiba? Ukiwa mwalimu wa primary utaiba nini sasa
Mkanaredi πππHizo ndo point na ile mentally kwamba mwisho wa mwezi si ntapata tu ...kuna watu Wana safari daily ila pesa haikai wao ni hanasa tu .
Nimeenda kijijini Kuna ticha yuko early 30's ana nyumba na pikipiki nje kwake ana kiduka cha kusogezee siku ana mke ni WA kawaida hanaga skendo na anapendwa ..
Uncle wangu ni mwalimu wa msingi hapo mtwara mjini ana nyumba mbili hata miaka 50 bado hajafika ,na anapokaaa kachimba kisima anauza maji maana huko alipo ni town ila maji ya shida Tena sio mbali ni mjini hapo hapo kwa bajaji kutoka mkanared(chipuputa) au town kabisa mpaka hapo ni jero tu.
Nyiieee, tabu juu ya tabuAkichukua mkopo makato ni miezi 60(miaka 5) atanunua kiwanja nakujenga ukuta Hadi sehemu Fulani Deni likiisha anakopa Tena amalizie palipobakia wakati huo ada inazingua balaa watoto ,bado hajatapeliwa na mumewe au mkewe ni SHIDA
Dah! Nimecheka nilipokumbuka karatasi zinavyotumika kufutia ubao (sasa utaiba makaratasi ya jalalani?), Na vipindi vya chaki ukivyoiba ukienda darasani utamuuzia nani?Chaki na futio
πππMkanaredi πππ
Mkuu, nimekupata
Tamisemi ni Shida blazaDah! Nimecheka nilipokumbuka karatasi zinavyotumika kufutia ubao (sasa utaiba makaratasi ya jalalani?), Na vipindi vya chaki ukivyoiba ukienda darasani utamuuzia nani?
Leo hujanywa Henken naona unaakili Safi kabisa ,,,utumishi wa umma unamuumiza Sana mwenye salary ndogo hebu fikiria nasomesha wanangu na huu mfumuko wa bei ya home kutumia 10k Ni kuimiza familia ....hapo wazazi lazima kila mwezi uwabackup ........familia mzima na ukoo pia eti inanitazama msomi Mimi.....Ni upumbavu tu...Kwa mfano mimi binafsi bado mwajiriwa mpya per diem yangu bado 80k tuombe mpya ya mama irudi ya 150k...sasa imagine niko field ya siku 14...
Mahitaji yangu
Lodge 20000 kwa siku
Chakula na maji 15000 kwa siku
Ukaombwa home uchangie rambirambi lets say 50000
Hapo bado una familia nyumbani umeiachaje..bando,
Haya kama ndo mlevi ukienda tu bar ukisema unywe bia zako tano ukalale mara kaja mlevi mwenzako ili kumfurahisha ushamnunulia bia tatu yaani vijana changamoto nyingi bado hujaopoa demu...ebu nambie home unarudi na nini katika hio million maana ume save sana labda laki mbili...ukirudi home ma bill yanakusubiri...kumbuka mshahara ulishaukopeaga hivyo kama laki saba unakatwa hata laki nne kila mwezi...yaani ni maisha ya kipumbavu kbs
Msingi mkubwa wa kuajiriwa iwe serikalini au private sector, ni kukulipa ujira na some few benefits (bima ya afya, salary advances/loans etc) ili uweze kujikimu kimaisha wakati ukitumishwa na kamwe siyo kukufanya uwe tajiri. Katika kila watumishi 10 very few (labda 3 or less) ndiyo utakuta wanausogelea utajiri/hali nzuri sana kimaisha. Sababu kubwa ni kutumia fursa vema kufanya uwekezaji au kupiga dili/ufisadi. Kumbuka wako wengi pia ambao hupiga Madili lakini huishia kwenye matanuzi tuu. So msingi mkubwa wa kuajiriwa ni wewe kufanya kazi kwa mwajiri wako mpaka ustaafu halafu waajiri wengine.Kabisa watumishi wa chini wana hari mbaya mimi nafikir walio juu namaanisha mabosi wana mishahara mikubwa kulinganisha na watumishi wa chini ivyo ata wakikopeswa benki uyu wa chini anabakiwa na kidogo sana kulinganisha na mabosi wa juu mtazamo wangu mdogo ndio upo ivyo.
Kwanza nina siku tatu sijanywa naona niachane nazo kabisa inshallah mwenyeziMungu anifanyie wepesi niupakane na pombe maana appetite ilikata karibia mwezi baada ya kufululiza safari...Leo hujanywa Henken naona unaakili Safi kabisa ,,,utumishi wa umma unamuumiza Sana mwenye salary ndogo hebu fikiria nasomesha wanangu na huu mfumuko wa bei ya home kutumia 10k Ni kuimiza familia ....hapo wazazi lazima kila mwezi uwabackup ........familia mzima na ukoo pia eti inanitazama msomi Mimi.....Ni upumbavu tu...
Mkuu tuchukulie mfano wafanyakazi wa Elon Musk aliyonunua Twitter je ni matajiri? Ukweli ni kwamba hapana ila wanalipwa vizuri kuweza kumudu maisha yao ya kila siku.Serikali yenyewe duni unataka wafanyakazi wake wasiwe duni? Hadi pale tutapokua na uchumi imara ndio wafanyakazi watapata ahueni kwanza nje ya mshahara kila mtumishi ana haki ya pesa ya usafiri, pesa ya makazi, pesa ya muda wa ziada kazini, pesa ya kuitwa kazini kwa dharula, pesa ya mawasiliano, lakini zote hizo wanapata wachache walimu, manesi, polisi, maafisa kilimo sidhani kama wanapata hizo
Ulaya hakuna mfanyakazi ambaye hana madeni. Wenzetu kule kila kitu wananunua kwa mkopo (mortgage) kuanzia nyumba, gari, furnitures mpaka hata simu kama Samsung na iPhone... Hivyo hukatwa kwenye mishahara yao mpaka wanapostaafu. Kuna binadamu yangu yuko huko majuu huwa anashangaa sana kuona huku nyumbani tunajenga nyumba au kununua gari bila kukopa.Mimi nimejaribu kuwasemea waajiriwa tu wa Tanzania ambao wanakufa wakiwa na miaka 30 na kuzikwa wakiwa na miaka 60 , yaani watumishi wana mizigo ya madeni na ndio maana wengi huishia kua wezi tu wa mali ya umma
Tumeshushwa kutoka uchumi wa kati kwenda wa chini (Namnukuu Prof Muhongo bungeni majuzi) kwa sababu kipato chetu kwa mwaka kwa walio wengi by end of the year itakuwa below dola 1000.Samahani, naomba kufahamu status yako, plus hali ya kimaisha!
Nijuavyo, watumishi wa Serikali hawafiki 1M! Tz tuko 60M+, hali ya watanzania kwa ujumla ikoje tafadhali?
Well Said mjumbe hali sio kbisa sema ndio hivo kila mtu lake rohoniHabari za kazi wanajamvi,
Kiuhalisia swala la watumishi kuwa na madeni kila kona ni jambo la kawaida sanaaa, na hili linanipa maswali mengi sana bila majibu kwasababu watumishi wa vyeo vya juu na kwa uchache wanahali nzuri ya kiuchumi ila wengi hawana haki nzuri Tatizo liko wapi? Na nini kifanyike kutatua swala hilii?
Nakaribisha mawazo yako ili wote tujifunze ili iwe msaada kwa watumishi wa serikali na wasio watumishi wa serikali.
ππππChaki na futio
Utajiri sio rahisi kiivyo kma unavyosikia ,nakueleza na ishu ya kuajiriwa lazima iendelee ...siwezi kukificha wanaoangukia pua mpaka kuchanganyikiwa kweny biashara ni mwengi ...katika muundo wa biashara haswa nchi za kiafrica ambazo ngumu watu kuexport kupata fedha za kigeni ni ngumu mno hata asilimia 30% ya wafanyabiashara wote wawe na mfanikio makubwa zaidi wachache wale mafia ndo wanakaa kweny soko na kupiga faida Kuna michezo kibao unafanyika ,majungu ,chuki yaani balaa.Mkuu tuchukulie mfano wafanyakazi wa Elon Musk aliyonunua Twitter je ni matajiri? Ukweli ni kwamba hapana ila wanalipwa vizuri kuweza kumudu maisha yao ya kila siku.
Nikweli mshahara wa mtumishi unatimika kwenye mambo ya utumishi yaani unanufaisha serikali sio yeye mtumishiSerikali yenyewe duni unataka wafanyakazi wake wasiwe duni? Hadi pale tutapokua na uchumi imara ndio wafanyakazi watapata ahueni kwanza nje ya mshahara kila mtumishi ana haki ya pesa ya usafiri, pesa ya makazi, pesa ya muda wa ziada kazini, pesa ya kuitwa kazini kwa dharula, pesa ya mawasiliano, lakini zote hizo wanapata wachache walimu, manesi, polisi, maafisa kilimo sidhani kama wanapata hizo