Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi inayoendeshwa kwa kukariri mpaka kwenye uongozi wa serikali siwezi kushangaa wazazi na wanafunzi wakiendekeza kukariri.
Kuna mtoto nilimuuliza formula ya kutafuta eneo la duara, akanitajia mara moja.
A = π r²
Nikamuuliza hii pi unayoitumia kutafuta eneo la duara ni nini? Umeipataje? Kwa nini iwe namba hiyo pi na si nyingine yoyote?
Alishindwa kunijibu.
Kwa sababu wengi hawafundishwi kuelewa misingi ya vitu, wanafundishwa kukariri formula kufaulu mitihani.
Kwa hiyo madaktari wetu na mainjinia wa Tanesco na Madereva wa mabasi na marubani wetu wamekariri masomo? Hawajui practicals? Mafundi ujenzi je? Wamekariri masomo?
Mtoto mwenye uwezo wa kuhoji ni yule aliyefaulu mana anaelewa..Unaposema maisha mazuri unamaanisha nini? Mwenzio anazungumzia uwezo wa mtoto kupambanua mambo,kuhoji,nk. Jibu kitaalam usijibu km ligi mkuu
Hehe amenikumbusha mambo ya derive Pi..akijibu nitag😅Wewe ni bure kabisa -- kwa hiyo mtoto kushindwa pi ndiyo kawa kichwa maji!??? Basi na wewe nitajie tarakimu ya 2021 ya π na mwanasayansi aliyeikokotoa!???
Heri kujitahidi kumpa mtoto yoteBaada ya miaka sita hao hao wazazi watakuwa wanalia kuhusu hao hao watoto waliopata division 1 kukosa Ajira
Mtu anaweza kushindwa geometry akapata F kwa kuhoji kwa nini mstari mnyoofu una nyuzi 180 na si 181 wala 179?Mtoto mwenye uwezo wa kuhoji ni yule aliyefaulu mana anaelewa..
Huwezi niambia mtu na division 4 ama F ya hesabu alete mezani discussion yoyote ya maana ya kuhoji vitu alivyofeli!!..
Elimu inasaidia sana kuja kupambanua vitu badae maishani hasa ukiingia sekta za 'problem solving' za maisha ya kila siku..km one ya form 4 ilikushinda uta'analyze vipi issue kubwa watu waende mbele?
Tusibeze elimu na juhudi za watu jmn
Japo nakubali watoto wajengewe uwezo zaidi kujieleza na ku'analyze mambo bt msiseme hamna impact.,
uambiwe Surgeon wako alipata F ya Biology utafanyiwa operation?.!!
Kama ana hoja kweli aende mbele kama kina Mpemba akachallenge huko mbele zaidi ndo ntaamini kweli ana hoja ya kuboresha!na we ana akili kweli sio mtu unakuja na F afu huna maelezo yoyote (which is the case for most people)Mtu anaweza kushindwa geometry akapata F kwa kuhoji kwa nini mstari mnyoofu una nyuzi 180 na si 181 wala 179?
Watu wakamdharau bila kumjibu.
Ukiwauliza kwa nini, wanakupa jibu la kukariri kanuni za Euclid. Kanuni ambazo haziwezi kuwa proved.
Zimesemwa tu by fiat.
Kumbe wanachodharau ni somo kubwa zaidi la Riemannian Geometry.
Hata hizo PhD sioni zimesaidia nini kwenye Nchi hii. Kuna shida katika Elimu yetu, au nasema uongo ndugu zangu?Na kiukweli hawajui div.1 hazisaidii chochote ktk mishe za kimaisha zaidi ya kujiona kichwa afu hukazi kwenye mishe.
Naigawa hii div.1 yangu mimi
Riemannian geometry ina mistari minyoofu wenye nyuzi 179 na 181.Kama ana hoja kweli aende mbele kama kina Mpemba akachallenge huko mbele zaidi ndo ntaamini kweli ana hoja ya kuboresha!na we ana akili kweli sio mtu unakuja na F afu huna maelezo yoyote (which is the case for most people)
its 180 with reasons,..unakuja na 179 basing on what?.kama anabisha aje na thesis zake na yeye..atuaminishe dunia nzima...how many people can actually do that?.
sio mtu hata getting proper marks saivi ni issue how can you challenge while you dont even understand existing facts properly?!
Comprehend kilichopo then challenge!
Sasa nini kilisababisha adoption ya common geometry ya 180 degrees na sio 179/181?Riemannian geometry ina mistari minyoofu wenye nyuzi 179 na 181.
Kuna watu wengine wanafeli kwa sababu hawaoni vizuri na vijijini hawana access na miwani tu.
Kwani Riemann alianzaje kuuliza mpaka akagundua Riemannian geometry ikaitwa jina lake?Sasa nini kilisababisha adoption ya common geometry ya 180 degrees na sio 179/181?
Mi sijui....
ila tunaweza kubaliana kuwa common cases kibongo bongo sio watu ku'question logic ya 'content' ya elimu wanayopata bali kutozingatia masomo ama kukosa huduma nzuri za elimu kutokana na umaskini...wa
ss mtu ndo anakutana na geometry for the first time anaanzaje kusema about Riemannian?..
Mpk leo 2021 bado unaandika utumbo tu .Kwani Riemann alianzaje kuuliza mpaka akagundua Riemannian geometry ikaitwa jina lake?
Kama ni mtu wa kuhoji utahoji tu.
Tunaambiwa mstari mnyoofu una nyuzi 180.
Kwa nini tunasema nyuzi 180, na si nyuzi 1, wala 2 wala 179? Wala si nyuzi 1000?
Ni sheria ya kujitungia watu tu.
Na hata ukiikubali, kwa maana lazima jamii iwe na makubaliano kuhusu conventions fulani kuepuka chaos, unakuta kwamba kumbe kuna geometries nyingine tofauti na hizi za Euclid, ambazo pembetatu ina nyuzi zaidi au pungufu ya 180.
Udadisi tu.
Sasa kibongo ukiwa na maswali sana kama haya, unaonekana "Wewe Kiranga sana".
Kumbe maswali haya yanaweza kuibua ugunduzi mzuri sana.
Riemann alivyoanza geometries zake za mstari wenye nyuzi zaidi ya 180 au pungufu alionekana kama chizi.
Baadaye Einstein alivyokuja kugundua Relativity na kuona jinsi spacetime inavyopinda, kwenye gravity kubwa kama pembeni ya black holes na karibu ya jua, akajikuta hesabu anazotumia ni za geomerty ya Riemann ile ya mstari ulionyooka ambao una nyuzi zaidi au pungufu ya 180 (kwa sababu upo katika spacetime iliyopinda).
Wewe ni bure kabisa.Mtoto mwenye uwezo wa kuhoji ni yule aliyefaulu mana anaelewa..
Huwezi niambia mtu na division 4 ama F ya hesabu alete mezani discussion yoyote ya maana ya kuhoji vitu alivyofeli!!..
Elimu inasaidia sana kuja kupambanua vitu badae maishani hasa ukiingia sekta za 'problem solving' za maisha ya kila siku..km one ya form 4 ilikushinda uta'analyze vipi issue kubwa watu waende mbele?
Tusibeze elimu na juhudi za watu jmn
Japo nakubali watoto wajengewe uwezo zaidi kujieleza na ku'analyze mambo bt msiseme hamna impact.,
uambiwe Surgeon wako alipata F ya Biology utafanyiwa operation?.!!
Mitihani ya miaka hii mwanao hasipopata Division one Basi Kuna shida mahali maana Necta walishamtoa kipa golini.Ukikutana na kila mzazi leo anataka shule inayofaulisha, wazazi wako busy kuulizia ufaulishaji wa shule.
Juzi matokeo yalitoka kila mzazi ama mlezi anakata kujua shule hiyo division one ngapi, sijui nini.
Swali langu, kwa nini wazazi ama walezi wameshikwa sana na ufaulu wa watoto, division one, two na vitu kama hivyo?
Hii obsession ya ufaulu inafanya hata shule ama waalimu watafte namna ya kuiba mtihani ili waonekane wanafaulisha.
Kinachonisikitisha, wao wanaopata division one mbona hatuoni mchango wao wowote wa maana kwenye maisha yetu ya kila siku?
Kila mwaka nchi hii tuna division one za 7 zaidi ya 500, division one za 3 zaidi ya 200, hizo division zina mchango gani kwenye jamii?
Watoto wanaopata division one hizo mbona ni weupe sana vichwani?
Mimi kama mlezi, natamani kuona watoto wakiwa na uwezo wa kuhoji (questioning mind) kufikiri (reasoning skills), kutafakari na kuchambua (analytical skills), vitu ambavyo ndio Dunia ya sasa inachokitaka na sio huu utaratibu wa kukaririsha watoto ili wapate division one ama two.
Mbaya zaidi sioni kama wazazi ama walezi mnaona kama huu mfumo ni mbovu, mfumo wa kuwakaririsha watoto, mfumo wa kuwafanya wasifikirie, wasihoji.
Kuna mtoto wa kaka yangu hapa ana division one ya point 7 lakini nachokiona kichwani mwake ni mweupe kabisa, hata baba yake anauliza huyu amepataje hii one ya 7.
Natafta hela mtoto wangu asome Cambridge ama IB schools.
Wewe baki hivyo hivyo na fikra za kibolizozo wenzako wanapiga one wanakwenda University wakirudi wanaendesha makampuni na mwanao anarudi kuwa Mlinzi wa geti siku zinasonga.Ukikutana na kila mzazi leo anataka shule inayofaulisha, wazazi wako busy kuulizia ufaulishaji wa shule.
Juzi matokeo yalitoka kila mzazi ama mlezi anakata kujua shule hiyo division one ngapi, sijui nini.
Swali langu, kwa nini wazazi ama walezi wameshikwa sana na ufaulu wa watoto, division one, two na vitu kama hivyo?
Hii obsession ya ufaulu inafanya hata shule ama waalimu watafte namna ya kuiba mtihani ili waonekane wanafaulisha.
Kinachonisikitisha, wao wanaopata division one mbona hatuoni mchango wao wowote wa maana kwenye maisha yetu ya kila siku?
Kila mwaka nchi hii tuna division one za 7 zaidi ya 500, division one za 3 zaidi ya 200, hizo division zina mchango gani kwenye jamii?
Watoto wanaopata division one hizo mbona ni weupe sana vichwani?
Mimi kama mlezi, natamani kuona watoto wakiwa na uwezo wa kuhoji (questioning mind) kufikiri (reasoning skills), kutafakari na kuchambua (analytical skills), vitu ambavyo ndio Dunia ya sasa inachokitaka na sio huu utaratibu wa kukaririsha watoto ili wapate division one ama two.
Mbaya zaidi sioni kama wazazi ama walezi mnaona kama huu mfumo ni mbovu, mfumo wa kuwakaririsha watoto, mfumo wa kuwafanya wasifikirie, wasihoji.
Kuna mtoto wa kaka yangu hapa ana division one ya point 7 lakini nachokiona kichwani mwake ni mweupe kabisa, hata baba yake anauliza huyu amepataje hii one ya 7.
Natafta hela mtoto wangu asome Cambridge ama IB schools.
Wewe ni bure kabisa -- kwa hiyo mtoto kushindwa pi ndiyo kawa kichwa maji!??? Basi na wewe nitajie tarakimu ya 2021 ya π na mwanasayansi aliyeikokotoa!???