Kwanini wazazi wa siku hizi wako 'obsessed' sana na ufaulu wa Division One kwa watoto wao?

Kwanini wazazi wa siku hizi wako 'obsessed' sana na ufaulu wa Division One kwa watoto wao?

Wewe ni bure kabisa.

Kufaulu hakuhusiani kabisa na kua na akili ya kohoji.

Hua unaangalia hata bunge letu kweli? Mle kuna maprofesa na watu wa darasa la nne, kuna kitu unajifunza kule?
Vina uhusiano wa karibu

kilaza anaweza kuhoji na kuanalyze vitu kama Zitto ama Tundu Lissu alivyokuwa

mtu akishakuwa sisiemu ni habari nyinginee hata km ni profesa.,tujue kutofautisheer kinachowaponza sio elimu zao ni vyama muda mwingine
 
wazazi wanapenda introduction iliyojaa akikutambusha huyu ni jack anasoma form five alipata oneya 8 f4
 
Sio kilaza ana division one point saba, kwa mawazo na akili kama zako sio kilaza kabisa, ni genious kabisa na hakuna mtu kwenye ukoo wenu amewahi kupata hiyo ufaulu lakini kwetu sisi wenye akili kubwa huyu mtoto sio genious.
Nyie mna mchango gani kwa taifa hado sasa
 
Back
Top Bottom