Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Jan 27, 2021 #61 kahtaan said: Mpk leo 2021 bado unaandika utumbo tu . Dah... Mama kiranga kapata hasara kubwa sana. Click to expand... Siku ukijua maana ya neno Kiranga ujipige ngumi nyingi sana kifuani!
kahtaan said: Mpk leo 2021 bado unaandika utumbo tu . Dah... Mama kiranga kapata hasara kubwa sana. Click to expand... Siku ukijua maana ya neno Kiranga ujipige ngumi nyingi sana kifuani!
LadyRed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 9,636 Reaction score 11,483 Jan 27, 2021 #62 Hakimu Mfawidhi said: Wewe ni bure kabisa. Kufaulu hakuhusiani kabisa na kua na akili ya kohoji. Hua unaangalia hata bunge letu kweli? Mle kuna maprofesa na watu wa darasa la nne, kuna kitu unajifunza kule? Click to expand... Vina uhusiano wa karibu kilaza anaweza kuhoji na kuanalyze vitu kama Zitto ama Tundu Lissu alivyokuwa mtu akishakuwa sisiemu ni habari nyinginee hata km ni profesa.,tujue kutofautisheer kinachowaponza sio elimu zao ni vyama muda mwingine
Hakimu Mfawidhi said: Wewe ni bure kabisa. Kufaulu hakuhusiani kabisa na kua na akili ya kohoji. Hua unaangalia hata bunge letu kweli? Mle kuna maprofesa na watu wa darasa la nne, kuna kitu unajifunza kule? Click to expand... Vina uhusiano wa karibu kilaza anaweza kuhoji na kuanalyze vitu kama Zitto ama Tundu Lissu alivyokuwa mtu akishakuwa sisiemu ni habari nyinginee hata km ni profesa.,tujue kutofautisheer kinachowaponza sio elimu zao ni vyama muda mwingine
shanature JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 1,693 Reaction score 1,432 Jan 26, 2025 #63 wazazi wanapenda introduction iliyojaa akikutambusha huyu ni jack anasoma form five alipata oneya 8 f4
wazazi wanapenda introduction iliyojaa akikutambusha huyu ni jack anasoma form five alipata oneya 8 f4
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 26, 2025 #64 Wengi wao hawakuwa nazo.
fogoh2 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 5,305 Reaction score 5,355 Jan 26, 2025 #65 The Assassin said: Sio kilaza ana division one point saba, kwa mawazo na akili kama zako sio kilaza kabisa, ni genious kabisa na hakuna mtu kwenye ukoo wenu amewahi kupata hiyo ufaulu lakini kwetu sisi wenye akili kubwa huyu mtoto sio genious. Click to expand... Nyie mna mchango gani kwa taifa hado sasa
The Assassin said: Sio kilaza ana division one point saba, kwa mawazo na akili kama zako sio kilaza kabisa, ni genious kabisa na hakuna mtu kwenye ukoo wenu amewahi kupata hiyo ufaulu lakini kwetu sisi wenye akili kubwa huyu mtoto sio genious. Click to expand... Nyie mna mchango gani kwa taifa hado sasa