Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Hilo napinga mtoto ni wa wote angejizalisha mwenyewe kama ni wake peke yakeMtoto ni wa mama.
Aisee hizo sheria hazifai zinatukandamiza sana wanaumePesa za misaada kutoka nje huwa zina masharti, wanakwambia sheria ziwe na usawa kama huko kwao ulaya lakini uhalisia ni kumbeba kupitiliza mwanamke
Kawaambie mahakama.Hilo napinga mtoto ni wa wote angejizalisha mwenyewe kama ni wake peke yake
Hhhhh. Sheria hio sio sawa mwanaume ana haki ya kulea watoto wake kama mwanamkeYaan hapo ndo huwa pagumu aiseee,labda walifikiria pia unaweza ng'ang'ania kumbe hata si wako
Sheria za maelezo kutoka kwa mabeberu hizo ... hata sheria za ubakaji ni muongozo wao ndiyo maana zinamdidimiza mtoto wa kiume badala ya kutazama logic ....ubakaji kingono ni kitendo cha kumwingilia mwanamke au mwanaume kinguvu au kwa vitisho ila sisi waafrica tumetungiwa sheria na mabeberu za ajabu kuhusu ubakaji lengo ni kuongeza maanithi ... mvulana akivuja miaka 25 bila ya kusex tayari huyo atakuwa na shida ya nguvu za kiume kisaikolojia kulingana na dunia ya sasaHivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ?
Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto
Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke analalamika anasema abadani watoto wake hawawezi kulelewa na mama wa kambo , mke amekuwa akipata support ya serikali ya mtaa kuliko mume
Sheria za tz zinawa-favour sana wanawake,Tena hizo Sheria zimetungwa na midumeHivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ?
Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto
Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke analalamika anasema abadani watoto wake hawawezi kulelewa na mama wa kambo , mke amekuwa akipata support ya serikali ya mtaa kuliko mume
Hapo hakuna usawa hawaja balance , mpka mifarakano itokee ujue kuna tabia hazipo sawa kwa mmoja wapo . Inaweza ikatokea mwanamke ni chenga mwanaume anaogopa hata kumuachia watotoSheria za tz zinawa-favour sana wanawake,Tena hizo Sheria zimetungwa na midume
Shida ya kwetu wana copy na ku paste sana sheria za wazungu ... kuna mambo yanayakiwa yawe na usawa kwa faida ya jamiiSheria za maelezo kutoka kwa mabuburu hizo ... hata sheria za ubakaji ni muongozo wao ndiyo maana zinamdidimiza mtoto wa kiume bola ya kutazama logic ....ubakaji kingono ni kitendo cha kumwingilia mwanamke au mwanaume kinguvu au kwa vitisho ila sisi waafrica tumetungiwa sheria na mabeberu za ajabu kuhusu ubakaji lengo ni kuongeza maanithi ... mvulana akivuja miaka 25 bila ya kusex tayari huyo atakuwa na shida ya nguvu za kiume kisaikolojia kulingana na dunia ya sasa
Umetisha sana . Alikusaidia msomi kibatala nnMbona mimi niliweza nikaweka GG kwenye kubet na mtoto yupo familia yetu.
Ukiwa hujabeba mtoto tumboni miezi 9 na uzazi ukafanya permanent damage kwenye mwili wako hautaelewa.Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ?
Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto
Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke analalamika anasema abadani watoto wake hawawezi kulelewa na mama wa kambo , mke amekuwa akipata support ya serikali ya mtaa kuliko mume
Mtoto ni wa wote ila inapoteka mifarakano mizani lazma iwepo kupima kt ya wazazi hao wawili nani anastahili kulea sio tu sheria iegemee upande mmojaHuo ni utaratibu wa serikali kwnye uislamu mtoto ni wa baba.