Kwanini Wazazi wakiachana Sheria zinampendelea mwanamke katika malezi ya watoto?

Mtoto chini ya miaka 7 ni wa Mama! Zaidi ya 7 ni wa Baba.
 
Wanawake wengi wanamng'ang'ania mtoto ili iwe sababu ya wao kulelewa kupitia pesa za matunzo ya mtoto
 
Pesa za misaada kutoka nje huwa zina masharti, wanakwambia muwe na sheria zenye usawa kama huko kwao ulaya lakini uhalisia ni kumbeba kupitiliza mwanamke,
Ulaya gani Mkuu, Mbona Wanawake kutoka Afrika wakizaa na Wanaume wa Ulaya na Mfano wameachana na Mwanamke anataka kurudi Tanzania pamoja na mtoto inakua ngumu utakua Mtoto anabaki na Baba yake na Mama anarudi Tanzania peke yake bila mwanae tena utakuta mtoto ana miaka miwili au mmoja, kwakifupi Mzungu akizaa na Mswahili lazima mtoto achukuliwe na Mzazi wa Kizungu tu na Mswahili hana haki ya kulea mtoto aliyezaa pamoja na Mzungu, yani utakuta Mswahili anaoa Au kuolewa na Mzungu wanaishi vizuri wanapata watoto sasa siku wakigombana tu Baba Wakizungu anabeba watoto anaondoka nao kwenda Ulaya.
 
Hapo ni complicated wanamlinda raia wao lakini fatilia nchi kama Marekani wazazi wakiwa wote raia wa Marekani mtoto huwa anabaki kwa mama, hata kwenye ndoa za rangi tofauti
 
Back
Top Bottom