Kwanini wazungu huwa hawali sana kama sisi Waafrika?

This is not true
 
WANALIMIWA, VYAKULA KWAO GHARAMA SANA.
 
Wazungu wanakula mlo kamili,
,waafrika tunakula ili tushibe na kujaza matumbo..
 
Wanakula kidogo kidogo mara kwa mara
 
Mind set...

Raised that way...

Discipline....

Ustaarabu....

Binadamu aliyefikia hatua ya kufanya kila kitu kwa kiasi ikiwemo chakula pia, ..... nashindwa kuelezea ila ni hatua flani ambayo wengine hawaiwezi.

Na inapendeza ikiwa self discipline.
Hiv n nan aliwafundisha kilabanachofanya mzungu ni ustaarabu?
Hiv n nn maana ya ustaarabu?
 
Siwezi kupika kwa ugali?
 
Mkuu Nina rafiki wazungu ukweli jamaa Hawaii bali WANAONJA!
asubuhi kipande Cha kiazi mviringo na kamchicha kaduchu.
Mchana slesi 2 za boflo na kamboga ka majani na juisi ya limao
 
Wabongo wanakula hovyo sana na tatizo la kiribatumbo kwa wanaume na wanawake linazidi kushika kasi nchini.
 
Wachina na Wakorea ndio binadamu wanaozingatia ulaji mzuri kuliko wengine wote ndio maana hata kiwango cha tatizo la Kiribatumbo(obesity) kwao ni kidogo sana.
Kwa Africa Rwanda inajitahidi katika ulaji mzuri unaozingatia afya.
 
Ukiangalia mara nyingi wazungu wanakuwa hawali chakula cha aina moja wanakuwa wanakula vyakula vya aina tofauti tofauti
 
Wazungu wanakula zaidi vyakula vilivyochakatwa viwandani(processed foods) na vyenye sukari nyingi ambavyo ni vyakula vibaya sana kwa afya.
 
Wanakula sana protini
 
Utamaduni, misingi toka utotoni katika ngazi kaya, ukosefu wa elimu lishe katika ngazi za awali shule na familia na jamii, financial security, food security, misconceptions uelewa wa neno kushiba, kukosekana kwa vita ya dhati kupambana na adui mazoea kwenye tasnia ya kula.

Ukosefu wa elimu ya afya ya mwili, ulaji wa chakula, umuhimu wake na janga ubongo wa aina zote kutoshiriki kwenyw kufikiri,kushiriki na kuamua kuhusu msosi.

Macho
Pesa
Misifa
Uzuzu.
 
Huyu mimi kabisa😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…