Kwanini wazungu na matajiri hawaangushwi na mapepo?

Muda huo kakukwida hizo dawa utamtuliza nazo saa ngapi? 😹
Hizo dawa zinatolewa kwa mlolongo wa mda mrefu , mfano ,mgonjwa anaweza kuwa yupo hospital kwenye dozi zaidi hata ya miaka 10 , pia kuna njia za kitaalamu za kumtuliza nikisema hapa itakua ni darasa sasaπŸ˜…πŸ˜…
 
Kuna muda si kinapanda ghafla hata kama yupo kwenye dose 😹
 
Pepo linapanda ndege, sio mapepo ya kina mwamposa yamekuja kwa miguu, pepo likiwa la gharama sana bc limepanda daladala πŸ˜‚
Na linapanda daladala muda wa kuja, kuondoka linaondoka na mguu 🀣

Ule uchawi wa kina Merlin bongo ungekuwepo na mie ningeutaka..Unaamka asubuhi unaiangalia nyumba na jicho tu tayari inajipiga deki 😁😁
 
Ukishinda kutwa nzima na mkatoliki, msatbato, mlitheri au hata muislam.. Alaf jioni mnavoachana ukaongozana njia na mlokole ndo utagundua mlokole anatatuzo kubwa sana kichwani.
Haya sasa ,mimi nikisema naonekana m baya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…