HOJA Kwanini wenye nyumba Tanzania wanalazimisha kodi iwe miezi mitatu au sita?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
ngoja waje utasikia
Huyu jamaa roho ya kichawi katoa wapi hahahaaaahahaha πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ m nikopale naangalia ....

Mbayimbayii
 
Wapo wanaolipa kwa mwezi lakini wasumbufu kweli,mtu amepigana amejenga,amekukodisha,unajistiri hapo kwa mvua na jua,unajipumzisha baada ya kutoka kazini unapaki na gari lako salama bado unamsumbua hakika ni jambo baya sana,ni bora hizo hela sometimes uziweke UTT-AMIS.
 
Kodi ya luku ya jengo analipa mpangaji, nyie wenye nyumba mnatakiwa mlipe kodi ya mapato kutoka kwenye kipato cha wapangaji wenu.
Hakika mwenye nyumba alistahili kurudisha 18,000/-kwa mpangaji..
 
Mimi nafurahi kuwa na mwenyenyumba ambaye huniazima fedha basi mimi humpatia haraka sana,huwa zinakuja kupunguza amount ya malipo...
 
Jenga ya kwako
 
Acha unalaya na pombe ujenge yako kama ni rahisi.
 
Aisee
 
hili jambo si ni limekaaa kimakubaliono zaidi?!
 
Halafu ni vigumu sana kumtoa asiyelipa kwa wakati kwa sheria zetu.
 
Wamiliki wa nyumba wafanya vema kudai kodi miezi mitatu au sita ili wapangaji wapate akili ya kujenga zao.Zamani watu walikuwa waminifu walilipa kodi mwisho wa kila mwezi bila shuruti lakini sio miaka hii ambapo hutoroka bila kulipa na kumwacha mwenye nyumba akisaga meno.kama hamtaki jengeΓ±i zenu
 
Nchi hii sio mbaya, watu wake do wabaya. Nchi hii inaharibiwa vikajanja wa DAR kila kitu utapeli utapeli na uswahili mwingi.

Mfano mzuri, kule usukumani tunatumia gharama kubwa sana kulima mahindi, kipindi cha mavuno wanakuja makajanja wenye vitumbo vyao wanapima 600 kwa kilo.

Viongozi wetu wameendelea kuruhusu huu uhuni ni hudhuni kwa kweli.
 
Nadhani tumekariri; tumemebeshwa taratibu za nchi za Kimagharibi, ambao hutoza kwa mwaka au nusu mwaka.
Hakuna cha nchi ya magharibi ,huu ni upumbavu unaoexist Tanzania tu , nenda marekani ,Europe nk ,hamna rent ya miezi sita au mwaka .Rent inalipwa on monthly basis
 
Nchi za kimagharibi hazifanyi huu ujinga, hata nchi karibia zote zilizotuzunguka hazina huu utaratibu.
Huu ni utaratibu wa Kiswahili tu.
Na ndicho chanzo cha umasikini kwenye kaya nyingi , pesa ambayo ilitakiwa kuwa Kama mtaji kwenye biashara na uwekezaji inatumika kumlipa mwenye nyumba mwaka mzima au miezi sita ,poverty mindset
 
Bahati nzuri hizo nyumba mtakufa na kuziacha!

Utamuachia mke wako atakuwa ananipangisha Kwa mwezi huku nikimxhomeka Mashine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…