Kwanini Yanga SC imetumia Nguvu Kubwa na Kujiandaa Kupitiliza kwa Mechi ya Rivers United FC wakati kwa 99% Wameshafuzu?

Hongera sana mkuu Popoma kwa kukataa kuwa shabiki andazi
 
Dr. GENTAMYCINE mechi ni leo na sio kesho!
 
Daladala lenyewe ndilo ili hapa!



Nilikuwa nawaonea huruma kikosi cha Utopolo wakitumia ili basi.

Your browser is not able to display this video.
 


river wameona hali ni tete wanatafuta visingizio.
 
Wanataka mzigo wamewekewa Mil 10
Mil. 10 kwa magoli yanayokupeleka Nusu Fainali, yasipokupeleka fainali unaambulia zile mil.5. Labda kama sijamuekewa Mama.

Sasa sijui Simba leo watapewa 15mil. kutokana na zile penalti ama hazi hesabiwi kwwnye hizo mil. 5
 

Wewe kweli popoma
Sasa ulitaka Wa relax
 
mamb yanaweza enda ndivyo sivyo mji ukawa mdogo huu,maandalizi muhimu
 
Hahahaa
 
Lazima wajiandae wakilikosa tena now inakua historia yajayo hayajulikani cha msingi ni kupambana kwa muda huo
 
Maandalizi ni muhimu ndugu yangu atutaki yale ya jwaneng galax yatukute, Na atuwezi jua maadui zetu wana mpango gani na sisi kwaiyo kujidhatititi ni muhimu
 
huo ndio mpira ulivyo au unataka yatukute ya jwanang

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Mil. 10 kwa magoli yanayokupeleka Nusu Fainali, yasipokupeleka fainali unaambulia zile mil.5. Labda kama sijamuekewa Mama.

Sasa sijui Simba leo watapewa 15mil. kutokana na zile penalti ama hazi hesabiwi kwwnye hizo mil. 5
Hazihesabiwi penalti
 
πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…