Kwanini Yesu anaitwa Mungu? Sababu na ushahidi huu hapa

Kama uliyeandika hapa ni mwafrika basi ni mbwa,huwezi kumuita yesu mtu kama wewe kuwa ni MUNGU,upumbavu huu unawagharimu
Musa aliona mti na moto akaanguka kifudifudi na huo mti wenye moto ukasema mimi ni Mungu wa baba zako Ibrahim na isaka na yakobo ....sasa kati ya wanadamu na mti nikipi bora ? ...je kati ya mwanadamu na moto kipi bora ? ...sasa kama mungu alijigeuza mti uwakao moto na mtume musa akamsujudia unasemaje ni haramu mungu kujigeuza mwanadamu.. KUMBUKA BINADAMU NI MBORA WA VIUMBE KULIKO MITI NA MOTO
 
Labda ni kwenu tu lakini kwetu wanakufa.
Kwa hiyo labda kwenu huko ni miungu
Akili zako ni ndogo je watakatifu baada ya kiama wanakufa ? Hivyo kutokufa kwa kiumbe ni fadhiri za mungu tu kama ilivyo kwa kufa
 
Hapo Tito2:13 Mungu Mkuu ni Baba siyo Yesu Kristo Mwanawe.
Isipokuwa huwezi kumtenga Mungu na Neno lake,Yesu Kristo ni Neno la Mungu,
Yohana17:3
Hii haimainishi kuwa Yesu Kristo siyo Mungu! Hapana! Yesu Kristo ni Mungu kwa sababu amezaliwa na Baba (Mungu Mkuu)
 
Neno mungu katika maandiko linarejerea mtu au kitu chenye nguvu 2 wakorintho 4:4 kwa hiyo ukisema yesu ni mungu maana yake ana nguvu ila si za kumzidi baba yake (yehova) kwahyo kwa maneno mengine uungu/mungu ni majina ya cheo tu.
 
Hiyo injili unayotumia iliandikwa na waroma ikapitiwa karne kadhaa mbele na king james, original version haiongei huo upuuzi.
 
Wewe ni mtoto wa Babaako huwezi kuwa Babaako japo mnaweza kulandana tabia au kufanana sura.
 
Wanaompinga wanaipinga biblia halafu unatetea hoja kwa kutumia biblia. Sijui mnakuwaga na akili gani
 
Wewe ni mtoto wa Babaako huwezi kuwa Babaako japo mnaweza kulandana tabia au kufanana sura.
Mbinguni kuna wafalme wangapi? .... sasa kwanini yesu alimjibu kaisari kuwa ufalme wake siyo wa dunia hii ...tumia akili wewe zuzu wa makanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…