Kwanini zama hizi wanawake wengi hawapendi uke wenza?

Hivi hii ya 'wanawake wa zamani'mliwahi kuongea nao wakawaambia walikuwa wanapenda? Hakuna alokuwa anapenda kabisa huo uduwanzi, sema ndio ilikuwa mfumo wa jamii na walikuwa hawawezi kujitetea.
Kwanza wanaume wa zamani walikuwa wanaume kweli, hawa wa sasa wanaoishi kwenye nyumba za wanawake anaanzaje kuoa watu wengi....ukijua tu ana kimchepuko unatupa zubeda yake nje afu unammalizia na yeye moka ya kichwa afatane na zubeda yake
 
Tatizo vidume vya siku hizi nguvu hakuna...... ukikubali mitala tu jua share yako kwa mwezi unaweza usiipate.
 
Kwanza wanaume wa zamani walikuwa wanaume kweli, hawa wa sasa wanaoishi kwenye nyumba za wanawake anaanzaje kuoa watu wengi....ukijua tu ana kimchepuko unatupa zubeda yake nje afu unammalizia na yeye moka ya kichwa afatane na zubeda yake
Hahahaaaa!!! Eti 'zubeda lake'
Acha wajitoe ufahamu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umetishaaaa
 
Bwana eee kwanza wanaume wenyewe wa karne hii... hamjiwezi kwa lolote si kitandani wala kiuchuumi afu bado utake mke zaidi ya mmoja chaaaaa!! Ifike mahala mjionee huruma wenyew
 
Jamani ni ngumu sana kujua mnashare penzi.Hata nyie wanaume nadhani mnalijua hilo ni kama usikie mtu unayempenda anatembea na mtu mwingine kiuhalisia inauma.Kwa hiyo hiyo ni nature ya binadamu yeyote
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Inakuaje ukipata mmoja akawa na hizo package zote unazotaka ujue wamo humu duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…