Kwanini zama hizi wanawake wengi hawapendi uke wenza?





SASa tunaposema dushe kubwa ni muhimu huwa mnapinga,,ona sasa mnavyofunguka,,namshukuru mungu kwa kunipa muhogo mkubwa,,nafaidi sana nyuchi za wamama,,,,,unaingiza kabla hata sijaingiza nusu kashatukana mmewe mara sita,,raha sana
 
Me nionavyo niugumu wamaisha naugumu wamaisha unatokana nahali sasahivi kila mtu anapenda vitu vizur kuanzia makaz, usafiri, mavaz, navyote hivyo vinahitaji pesa kwahiyo wanawake hawataki katika ndoa wawe zaidi yammoja ili mumewe asiwe namzigo mkubwa. Inapotokea mume akawa nabi mdogo inabidi kipato chake akigawe mara mbili ila angekuwa mke mmoja yawezekana hicho kipato kingeweza kukidhi haja zafamilia kama vile kusomesha watoto shule nzur. Kwahiyo sisi wanaume tusiwaze kuwa wanawake wanatukatalia kuwa nabimdogo kwasababu yawivu wakimapenzi la hasha wanatuonea huruma kwamizigo tunayojibebesha ndio maana huwa wakali kwa inshu kama hizo.
 
Thats why there is evolution including `-mind` evolution!
 
Kwahiyo haki sawa wewe unaitafsiri ktk uzinzi, kuna shida Afrika.
 
Lakn sijajua kuna siri gani kwa mke Wa mtu maana anakuwa mtamu zaidi ya hata uliyenaye ndani au hata kuliko mchepuko ambao sio mke Wa mtu.

Na mazingira ambayo yanakuwa matamu zaidi ni kwenye gari na nyumban kwa Mme Wa mwanamke japo hayo mazingira ni hatar zaidi
 
Mkiwa wengi uaminifu ni mdogo
Lakini pia jaribu kuona mngekuwa wanaume wengi wanawake wachache ungekubali muwe wanaume 2 kwa binti mmoja unayemzimia sanaaaa moyoni
Tatzo wanawake Wa sasa mnadanganywa na hivyo vyama vya haki za wanawake..

Tangu enzi na enzi mpaka kwenye maandiko mwanaume ni halali kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja..

Hata kwako huwezi kufuga kuku matetea 20 na majogoo 20 au majogoo25 hapo utafuga tetea 20 na jogoo2 tu hujiulizi ni kwann?
 
Ni fikra tu, ukiendekexa fikra zako hivyo unavyo amini then itakuwa hivyo japo hakuna proof kwamba this is reality..
 
Kwahiyo kuku na binadam tuko class moja?
 
Reactions: MC7
Washukuru sana wazazi wako kwa kukupa elimu kama hyo juu ya ndoa na mahusiano
 
Hata hao wa zamani sio kwamba walipenda ni mfumo wa maisha ulikua unawafanya wakubali tu....
Mi natamani pia polyandry ikubalike kisheria
Unafikir ikiruhusiwa kisheria ndio ndoa zitatulia?

Hapo tegemea majanga zaidi ya haya
 
Hawa wanachekeshaga sana kujifananisha na wanaume wa zamani, wakati hawawafikii hata robo....
Enzi hizo men were men buana siku hizi wengi ni visokolokwinyo tu vinavokojoa vimesimama basi vinajikuta vimwanume (men with no balls)
Mmmh unataka kuharibu hii thread.. Ni nzuri ujue
 
Yan mm na ww ni mapacha[emoji130]
 
Kwahiyo kuku na binadam tuko class moja?
Nmetolea mfano tu mkuu..
Hata ktk uhalisia Wa binadamu mwanaume anauwezo Wa kufanya mapenzi mfululizo kwa siku 07 na akafurahia na kumridhisha mwanamke lakn je mwanamke anaweza kufuluriza? Na akafurahia ?
 
Reactions: MC7
Hawa wanachekeshaga sana kujifananisha na wanaume wa zamani, wakati hawawafikii hata robo....
Enzi hizo men were men buana siku hizi wengi ni visokolokwinyo tu vinavokojoa vimesimama basi vinajikuta vimwanume (men with no balls)


Nani alikuambia culture is static?
Basi si muoe hao bibi zenu.

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…