"Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

Haha..vijana wa Sasa hasara tupu
 
Hahhahahah yaani daah hali ni ngumu bwashee

siku hizi yaani kabla hujatongozwa unaulizwa unajishughulisha na nini au where are you working 😅😅😅😅😅😅😅😅 earth is harder
 
Ila kwenye mahusiano ukichimba kidogo unagundua uchumi sio kigezo kikubwa... I stand to be corrected
No Kwa dunia ya Leo swala la uchumi ni Jambo la msingi sana anaweza asiwe na pesa wala kazi Ila Kwa unavyomuona anaweza kukusaidia kwenye shughuli binafsi kama biashara au kufuga nyumbani au shughuli yoyote binafsi ya kiuchumi Kwa dunia ya Leo kuowa mtu ambaye anafuga kucha Tu na kupaka rangi yeye anangojea aletewe ni disaster kwenye future ya kizazi chako
 
Dunia na maisha vinaenda Kasi sana,,, ckuiz kabla hujamtongoza mwanamke atatumia tu muda wa dakika 1 kubaini Kama kwenu pesa zipo au la[emoji23]
 

Wasio na pesa, waendelee kudanga. Maana wakiwekwa ndani bado wanaendelea na mindset za kizamani (Kutafuta mwenye nazo zaidi yako). Wanahisi nyasi nzuri ziko mbali zaidi na hawajui vile pesa inatafutwa!
 
Ni kwasababu hao ndo wenye upendo wa kweli.. kwao pesa ipo so most of them huwa wanataka upendo tuu..

Sio Hawa wengine unampa upendo lakini kunamambo ukikwama kumtimizia la pesa anaona hufaii

So tusipangiane.. ingawa kiukweli wanawake wengi wasio na pesa kitandani wanajita balaa.. hao wanafaa kuwa side chicks tuu..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Itabidi niombe ulinzi..[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Miaka inaenda na kizazi kinachozaliwa ndiyo hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…