"Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

Hahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]

Anaomba zawadi, ila wanaume

Mi Kuna mmoja alikuwa ananiomba pafyume ya 230k...mpaka sasa

Huwaga namuangaliaga simmalizi[emoji2960]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hadi akuombe itakuwa ni mshikaji wako sana[emoji16][emoji16]
Nijuacho cha mwanamke hakiliwagi na ukikila utakilipia mara 2[emoji23]
 
Yaani tshirt imekunyima mume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe ni msolid sana[emoji38][emoji38][emoji38]

Huyo alikuwa mvulana bila shaka
 
This shit for real? Coz mi na wanangu tumekwama kwenye sifa ya chura since wayback mpaka leo
 
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mmmmmh
 
Kwanini sasa mkuu?[emoji849][emoji849][emoji848]

Sijaona kosa la demu[emoji57]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Uchumi mkuu,unadhani wanashusha suruali kwa wanaume wenzao wanapenda.Pesa
 
Acha hizo hizo huo ni upendo sio fadhila

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hii nitakuruhusu tukiwa tuna historia...labda imetokea nimekwama sana.

Lakini mwanzo ujitutumue eti unigharamiee aaah siwezi kamwe.
Hayo ni mambo ya aibu na dharau.
Mwanamke haoni haya ipo siku ukimkorofisha atakwambia...umesahau nilikukuta choka mbaya hadi nilikuwa nakugharamia?.

Kuna vitu katika maisha yangu navilinda sana visitokee.
 
🤣🤣🤣🤣Chalii yangu..Sasa si alikua anakusaidia jamani...ila Nimecheka sana
 
Kwanini sasa mkuu?[emoji849][emoji849][emoji848]

Sijaona kosa la demu[emoji57]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Niliona kuwa anahisi ninapomwambia nimetingwa kuwa sina maisha labda.

Niliona ni dharau na matusi na labda alihisi vicent vyake vya supermarket vitanitisha.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chalii yangu..Sasa si alikua anakusaidia jamani...ila Nimecheka sana
Mmh chalii yangu...kusaidiwa kwa dharau big noo.
Kwangu mimi pesa sio zaidi ya heshima.
Heshima kwanza.
Utu kwanza then pesa.
Pia huwa sinunuliki no matter what.
Niwe nazo au laah heshima ifuate mkondo wake mkuu.

Huwa naishiwa lakini sio kwa kiwango cha kukopeshwa naniliii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…