Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi chukueni hatua za kisheria dhidi ya Diamond & Zuchu

Hiyo video imeanza na disclimmer, and kwake sio issue kwa Kua ni Imani yake. Tuliza akili utagundua Kua mmekosea, shida hata ubongo wako umeshaharibiwa na wasafi unaamini kila wanalofanya wako sahihi
Hebu nipishe mie,
[emoji706]
 
Diamond amekuwa mpumbavu sana ktk hili...

Worse enough they dont realize that they messed up with the Christian faith.. and this is not the first time.

Diamond I tell you... I like ur music. But this time u r f cked!!
 

Tatizo letu wa bongo tuna roho za kwanini sana!?hata mm nashanga shida ipo wapi!?nyimbo hizo hizo za dini zinapigwa bar na clubs na watu wanazicheza wakiimba huku wamelewa,mbona hatulalamiki!?
 
Hizi dini zimeshawatoeni akili bado kidogo zitawatoa na uhai... Shauri yenu

Dini zenyewe mliletewa kipindi cha utumwa 😁😁
 
Ni wapuuzi na washenzi tu maana waliona ni rahisi kuingia kanisani kufanya ushenzi kuliko kufanya hivyo msikitini,

Sijui tungekuwa wapi watanzania kama na sisi mapadre na wachungaji wangekuwa wanahubiri mapanga na tindikali

Cc ROBERT HERIEL
 
Nimefurahishwa na maamuzi ya BASATA kuufungia huo wimbo.

Naamini wakati mwingine wataenda kufanyia shooting za hizo nyimbo zao kwenye Misikiti au kwenye Madrasa zao ili kuonesha namna wanavyo ithamini dini yao.
 
Though siujui huo wimbo na huwa sifuatilii!
Lkn hawa watu wamezidi dharau,mbona huwa hawa fanyi msikitini? Ukizingatia wote waislam?
 
Kumbe![emoji848]
Kwann asiigize yuko msikitini ?
 
Huku nikukosa kazi yaani km mm ningekuwa Daimond ningehamia hata Nairobi hapo kila sku ujinga ujinga usiokuwa bmna mashiko
 
Mnazidi kunifanya nitake kwenda kuuangalia huu wimbo YouTube, maana mnaupa kiki sana. Kwanzia hao walioufungia na nyie mnaouongelea muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…