Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Huoni tatizo?Mimi ni mkristo wa kanisa Lutheran. Sioni tatizo kwenye huo wimbo. Ukiambiwa usanii,zile ni tungo kwa hiyo kuna sehemu ili kufupisha au kurahisisha mashairi unaweka vifupisho ili kufanya wimbo ueleweke.
Ninachokiona hapo ni ile ile hali ya Diamond kuwindwa na wenye chuki tu
Ss kwann hawataki kuweka wapo msikitini km unafikiri ni rahisi hivyo?Mbona hapo kesi ni ndogo warekebishe kwa kutoa maudhui ya kanisani waweke ya msikitin
[emoji16][emoji16],ila jamaa hakua na nia mbaya,, msikitini wanawake hawaimbi kaswida kama kwaya,, mfumo ni tofauti,,Mbona hua hatanii tanii uislam hata kidogo.Siku 1 aimbe Basi nasafisha mtaro sijui nini halafu amalizie kwa kusema Takbiiiir,tuone reaction ya waislam itakuaje.
Ukristo haujazuia kunywa pombe ila usizidishe tu,,Aanzie msikitini aonekane akiswali then video iendelee yupo club na zuchu na vichupi wakinywa hennesy
Angalia hiyo ngoma.Sina chuki na Huyu Bwana Diamond, huwa napenda sana nyimbo zake, ni burudani tosha.
Ni takribani mwezi sasa toka huyu Bwana na bint Zuchu watoe wimbo wao walioupa jina 'Mtasubiri sana'. Ni wimbo mzuri katika muktadha wa burudani.
Ukakasi unakuja katika video ya wimbo huu. Kile kinachoonekana katika sekunde za mwanzo za wimbo huu ni dharau na kejeli kwa ukristo, na zaidi kwa kwaya ya Mt Kizito Makuburi.
Uongozi wa Kwaya ya Mt Kizito, Mwenyekiti, chukueni hatua za kisheria dhidi ya hawa watu, hatuwezi kuruhusu wimbo wetu wa YESU NI MWEMA kutumika kuinajisi imani, na katika hili hakuna kumuachia MUNGU. Chukueni hatua, shitakini huyu mtu kwa kutumia maudhui ya wimbo bila ridhaa ya kwaya, shitakini huyu mtu kwa kukashifu imani ya wengine.
Dharau dhidi ya imani nyingine sio mara ya kwanza kufanywa na huyu Bwana. Miaka kadhaa nyuma alishawahi kutoa wimbo kwa jina 'Hallelujah' huku wimbo huo ukisifia mambo ya kiasherati.
Kwa kuwa hawa wawili, Diamond na Zuchu wote ni waislamu, na kwa kuwa misikiti ipo mingi tu, kiliwashinda nini kuigiza Zuchu yupo msikitini anaimba Qaswida na diamond yupo club anampigia Zuchu simu kisha huyu bint anaacha Qaswida na kumfata Diamond waanze kutongozana?
Hizi ni dharau na dhihaka kwa wakristo! Kwamba bint mcha Mungu anathamini zaidi uasherati, anaacha kuimba kwaya anakimbilia uhuni, stupid!
Kumnyamazia kimya sio sahihi, he needs to be taught a lesson, mbona nyimbo zake ni nzuri tu bila kuingiza vikorombwezo vya dharau na dhihaka dhidi ya imani nyingine?
Haya anayoyafanya kwa imani ya kikristo anaweza kuthubutu kuifanyia imani yake islam?
#AchaDharau
Msikitini hawaimbi mkuuEmbu jiulize ingekuwa Wakristu wawili, wanaigiza wanapigiana simu mmoja yupo msikitini, anatoka anaanza kutongozwa hali ingekuwaje? Embu tuendelee kuheshimu imani za watu wengine hata kama kwa imani zetu tunaafikiri wanatenda makosa, tuwaache na makosa yao kwa kuwa hayaingilii uhuru wetu.Lakini tusifanye jambo lolote la kuonyesha kuwa imani ya mwenzako ni dhaifu
Walikuwa na uwezo kabisa kipande hicho, wakafanyia msikitini kwa kuwa wote ni waislam, na Tanzania miskiti ipo kila mtaa na huyo binti angeitwa akiwa anaimba qaswida, isingeleta shombo yoyote
Siyo mhuni,, ni mchumba,,Bint, mkristo, katika mazoezi ya kwaya ya kumsifu Mungu anaona simu ya mhuni, anatoka kuipokea anapigwa vocal, anaona kwaya upuuzi analala mbele kwa muhuni wake.
Kwamba masifu kwa Mungu hayana uzito kwa ukristo ila uhuni na uasherati unatuzidi, hii ni tafsiri kwamba imani ya kikristo ni dhaifu na ndio maana wameamua kuichezea chezea
Akina nani wanahubiri mapanga na tindikali?Ni wapuuzi na washenzi tu maana waliona ni rahisi kuingia kanisani kufanya ushenzi kuliko kufanya hivyo msikitini,
Sijui tungekuwa wapi watanzania kama na sisi mapadre na wachungaji wangekuwa wanahubiri mapanga na tindikali
Cc ROBERT HERIEL
Achana nao hao kenge!Huoni tatizo?
Wale wote waislam,kwann wasifanyie msikitini?
♦️Kwani Qaswida huimbwa wapi boss? Au maana ya kuimba hujui?Msikitini hawaimbi mkuu
Wewe, uislamu hauendani na mambo ya kijingaSina chuki na Huyu Bwana Diamond, huwa napenda sana nyimbo zake, ni burudani tosha.
Ni takribani mwezi sasa toka huyu Bwana na bint Zuchu watoe wimbo wao walioupa jina 'Mtasubiri sana'. Ni wimbo mzuri katika muktadha wa burudani.
Ukakasi unakuja katika video ya wimbo huu. Kile kinachoonekana katika sekunde za mwanzo za wimbo huu ni dharau na kejeli kwa ukristo, na zaidi kwa kwaya ya Mt Kizito Makuburi.
Uongozi wa Kwaya ya Mt Kizito, Mwenyekiti, chukueni hatua za kisheria dhidi ya hawa watu, hatuwezi kuruhusu wimbo wetu wa YESU NI MWEMA kutumika kuinajisi imani, na katika hili hakuna kumuachia MUNGU. Chukueni hatua, shitakini huyu mtu kwa kutumia maudhui ya wimbo bila ridhaa ya kwaya, shitakini huyu mtu kwa kukashifu imani ya wengine.
Dharau dhidi ya imani nyingine sio mara ya kwanza kufanywa na huyu Bwana. Miaka kadhaa nyuma alishawahi kutoa wimbo kwa jina 'Hallelujah' huku wimbo huo ukisifia mambo ya kiasherati.
Kwa kuwa hawa wawili, Diamond na Zuchu wote ni waislamu, na kwa kuwa misikiti ipo mingi tu, kiliwashinda nini kuigiza Zuchu yupo msikitini anaimba Qaswida na diamond yupo club anampigia Zuchu simu kisha huyu bint anaacha Qaswida na kumfata Diamond waanze kutongozana?
Hizi ni dharau na dhihaka kwa wakristo! Kwamba bint mcha Mungu anathamini zaidi uasherati, anaacha kuimba kwaya anakimbilia uhuni, stupid!
Kumnyamazia kimya sio sahihi, he needs to be taught a lesson, mbona nyimbo zake ni nzuri tu bila kuingiza vikorombwezo vya dharau na dhihaka dhidi ya imani nyingine?
Haya anayoyafanya kwa imani ya kikristo anaweza kuthubutu kuifanyia imani yake islam?
#AchaDharau
Kama kibamia chakoAkili zako fupi!
Ngozi nyeusi unafki umetujaa sana, na nafsi za kimaskini, visasi na roho mbaya zimetutawala,Tatizo letu wa bongo tuna roho za kwanini sana!?hata mm nashanga shida ipo wapi!?nyimbo hizo hizo za dini zinapigwa bar na clubs na watu wanazicheza wakiimba huku wamelewa,mbona hatulalamiki!?
Heshimu imani za wengine, nao pia wataheshimu imani yako,Kanisani ndio sehemu watu wanaenda kutafuta wanawake kwa ajili ya kungonoka
Marehemu mudi amewadanganya sana.Kanisani ndio sehemu watu wanaenda kutafuta wanawake kwa ajili ya kungonoka
Kama mlivyo wafuasi wa marehemu mudi mnavyokwepa hoja ya msingi ya KWANINI WASIFANYIE HUO USHUZI WAO MSIKITINI ILIHALI WOTE NI WAISLAMUNgozi nyeusi unafki umetujaa sana, na nafsi za kimaskini, visasi na roho mbaya zimetutawala,
Hapo hilo swali la "Mbona hizo nyimbo za dini zinapigwa clubs na bars watu wakiwa wamelewa na wanaimba na kucheza hawajawahi kulalamika"
Wanalikwepa mtoa Mada na wafuasi wake.