Kweli ICC inatisha. Hadi Sirro kasema watampa Lissu ulinzi

Kweli ICC inatisha. Hadi Sirro kasema watampa Lissu ulinzi

Hivi nyinyi simliambiwa mkaandamane, kiliwashinda nini? mtupishe bwana
 
IGP anatekeleza majukumu Yake wapi kasema anaogopa ICC? Hilo beberu lenu Amsterdam linawajaza ujinga Kama lilivyofanya kabla ya uchaguzi na Sasa baada ya uchaguzi.
Jipeni moyo HAKUNA lolote Trump mwenyewe yuko Kama Lissu tu eti kaibiwa akiambiwa ukweli hakuna aliyeiba kura anafukuza kazi. Nyumbu hovyo kabisa.
Kwahiyo wewe ni mbuzi jike au?
 
Kitendo cha Lissu kusindikizwa na mabalozi wa nchi tatu Airport ni kielelezo tosha kwamba Serikali haiaminiki tena mbele ya Jumuia ya kimataifa.

Yaani raia wa Tanzania ndani ya nchi ya Tanzania asindikizwe airport na mabalozi wa nchi tatu za ulaya kwa pamoja - nini tafsiri yake.
Yajayo yanafurahisha 😂😂😂
 
Eti Sirro anamuomba Lissu arudi nchini watampa ulinzi,kwanini asitumbie kwanza ni nani walimshambulia kwa magazine nzima?
Yap!..awakamate waliohusika na shambulizi dhidi yake mwaka 2017.
 
Back
Top Bottom