Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Tataka taka hao mkuuAmani iwe nanyi wadau...
Tataka taka hao mkuuAmani iwe nanyi wadau...
Wameanza kupanickWaziri wa Mambo ya nje ana kazi nzito hadi anasaidiwa na Polisi
Amani iwe nanyi wadau...
Wote hawa kushindwa kuchukua hatua muda wote, huo peeke ya faa kushitakiwa kwa uzembe wakushindwa kutkmiza majukumu yao. Baadae mashitaka juu ya kushirimi ama kutaka kushiriki katika uovu uliotendeka.Amani iwe nanyi wadau.
Sasa nimeanza kuamini kuwa kumbe suala la ICC ni tishio kubwa kwa serikali ya awamu ya Tano, pamoja na kebehi za wanalumbumba humu........
Karibu bi Khadija! Najua umeaminishwa kuwa ukijiunga jf na kuitetea ccm utapata ajira kiulaini! Hivi, inatakiwa kujibu post ngapi kwa siku?ICC ni porojo tu, wala haziwezi kumtisha mtu
Kuna mambo yanakuwa makubwa na complex kwa akili zako wewe huwezi kung'amuaICC ni porojo tu, wala haziwezi kumtisha mtu
Issue ipo very criticles kwa sababu wakati uchaguzi unaendelea na kampeni zikiwa zinafanyika huenda kulikuwepo na kamati za siri maalumu zilizokuwa zikirekodi kila tukio from A to Z hivyo huenda [[upinzani ulijiandaa mno ki kesi zaidi kuliko hata matokeo ya uchaguzi]] tusije kushangaa yapo mambo mengi zaidi na pengine yamesha fikishwa huko in video hivyo pengine kumpa|kuwapa wakati mgumu mno watu watakao kuwa wanaenda katika mahakama hizo jinsi ya kushindana na kesi zenyewe kwa jinsi zilivyoshikwa na KUNDI LA WAPENDA KESIAmani iwe nanyi wadau.
Sasa nimeanza kuamini kuwa kumbe suala la ICC ni tishio kubwa kwa serikali ya awamu ya Tano, pamoja na kebehi za wanalumbumba humu.
Sasa nimeamini kuwa viongozi wa serikali ya awamu ya Tano wanaiogopa kweli ICC na sasa wameanza kutapatapa.
Kwanini nasema hivi?
Kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi balozi za nchi za Ulaya na Marekani walitoa madai ya kukiukwa kwa Haki za binadamu na msingi ya demokrasia katika uchaguzi wa Tanzania. Walitaka mamlaka za Tanzania kuchukua hatua baada ya wapinzani kunyanyaswa na kukamatwa hovyo na polisi na kwenye baadhi ya maeneo kuuwawa. Serikali haikuwai kutoa tamko kuonyesha wanafanyia kazi madai hayo zaidi ya kuwapuuza tu.
Baada ya kutokea tuhuma za kuua watu na kupanga kuwauwa wapinzani serikali pia ilitulia tuli na kuwadharau wapinzani Ila baada ya kuona ushahidi na maombi yamepelekwa ICC sasa tumeanza kuona kuweweseka kwa upande wa serikali kusiko kawaida.
Nini Kimetokea baada ya Maombi Kupelekwa Icc juu ya kuichunguza Tanzania na ICC kukiri kupokea maombi?
1. Polisi Zanzibar waliitisha kikao na kusema Kuna askari amekamatwa na kuuwawa. Taarifa hizi hazikuwai kutolewa popote kipindi cha uchaguzi na wala kipindi balozi za Marekani na Ulaya zilipotoa matamko.
2. Leo IGP Simon Sirro Kaitisha kikao na kusema wameanzisha uchunguzi chini ya DCI ya matumizi yaliyozidi nguvu Zanzibar na kwenye uchaguzi, akasema anamuomba Lissu arudi ili wampe ulinzi pamoja na Lema na akasema watu waliokufa ni wawili tu.
Kwanini haya yote sasa hivi?
Kwa wataalamu tumeona hii ni defensive mechanism ya polisi kuonesha kuwa kwanza polisi nao waliuwawa na pili wanafanyia kazi malalamiko hivyo hakuna haja ya ICC kuchunguza. Hii ni kwa sababu ili icc ianze uchunguzi ni lazima ithibitike kuwa vyombo vya ndani haviwezi au vimeshindwa kushughulikia hayo matatizo.
Napenda kutoa pole kwa polisi kwa sababu haya yote yanayofanyika inaonekana kuwa sasa viongozi hawa wa Tanzania wame-panic na wanajaribu kufunika kombe wakati ni too late tayari.
Napenda niwape polee sana maana kama ni kisu, kimeshagusa mfupa. Watulie tu.
Mods Naomba msiunganishe huu uzi maana unajitegemea kimaudhui
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada misaada ulaya huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu wa CCM ndipo CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jikeIGP anatekeleza majukumu Yake wapi kasema anaogopa ICC? Hilo beberu lenu Amsterdam linawajaza ujinga Kama lilivyofanya kabla ya uchaguzi na Sasa baada ya uchaguzi.
Jipeni moyo HAKUNA lolote Trump mwenyewe yuko Kama Lissu tu eti kaibiwa akiambiwa ukweli hakuna aliyeiba kura anafukuza kazi. Nyumbu hovyo kabisa.
Ipo list kubwa ya Polisiccm watafikishwa ICC akiwemo IGP mwenyeweHuku ICC kule EU sijui tutatokea wapi.Mwanakulitafuta Mwanakulipata 💪🏽
Hili bunge la EU ni warning tu kuonyesha ICC inafuata,hata mwinyi Zanzibar kujipendekeza kuwapa nafasi ACT ni kuficha aibu iliyotokea zenjiWe endelea kusema porojo wakati wenzako wanaweweseka kujinasua
Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM, maandamano tarehe 2 lakini nyinyi CCM tarehe 1 mkaenda kuwakamata viongozi wa chadema nani angehamasisha maandamano? ICC mtakwenda kwani ushahidi wa video upo unyama wote uliofanyika Zanzibar na sehemu zingine Tanganyika upo ICC lazima iwanyooshe muache ushetani wenuNyumbu ni nyumbu tu.
kwanza kabla ya uchaguzi mlianza kututishia Armsatdam,mkaja na Jaffrey Smith,mkaja tena na kaulizenu za"mabalozi wamesema"
baada ya uchaguzi mkaanza na kauli za maandamano nchi nzima likabuma,mkaanza na kauli za"E.U wamesema".sasa mmeamia na ICC.
Rais JPM keshaapishwa,watanzania wanachapa kazi na maisha yanaendelea.
Hiyo kura kampigie mama yako kwa baba yakoMimi ni mpiga kura wake!
Amani iwe nanyi wadau...