Huijui teknolojia ya hao ISP mbinu zipo nyingi sio lazima Vpn na sio kweli Tanzania nzima net inazingua la hasha ,inshu ni minara tu wanabana wanavyotaka wao kulingana maeneo na unaweza kuta maeneo ya balozi ,Viwanja vya ndege na Ikulu wanaperuzi bila shida .
Jiulize vifurushi vya kanda ya ziwa ,au centrel offer n.k kila eneo lina bei zake za vifurushi na offer mbalimbali za ya kwako zinawezaje kubagua wateja kila maeneo pia wanao uwezo wa kujua matuzi yako ya internet na mengine mengi tena mbaya zaidi karibu mitandao yote inatumia mkongo wa Taifa na mmliki Tccl kwa niaba ya serikali kweli watumie VPN ndugu hapo umewaza bila tafakuri sio wote tunatumia VPN kuingia twitter.
Tena wapo walikuwa na vifurushi vya chuo ila walipomaliza chuo na kutoka eneo la chuo vifurushi vyao vilitolewa unadhani wanabahatisha 😀