secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Wanakuita usipo tii wito wanatuma arrest warrant....ICC si mchezo.... List ya watuhumiwa huwa inatolewa kama surprise... Halafu Wanakwambia wanakuhitaji ushahidi dhidi yako wanao.......
Lord denning kweli amesema hivyo? Siamini!. Leo IGP Simon Sirro Kaitisha kikao na kusema wameanzisha uchunguzi chini ya DCI ya matumizi yaliyozidi nguvu Zanzibar na kwenye uchaguzi, akasema anamuomba Lissu arudi ili wampe ulinzi pamoja na Lema na akasema watu waliokufa ni wawili tu.
Ni kweli ICC huwa hawana kazi ya kuwatisha watu, bali kazi zao wanafanya kwa vitengo.ICC ni porojo tu, wala haziwezi kumtisha mtu
Acha wajifariji ICC ingekuwa dili M7 na Kagame serikali zao zingepelekwa ICC basi ningeamini ila Kabudi atawazima kama mshumaa.ICC ni porojo tu, wala haziwezi kumtisha mtu
Kabudi huyu huyu ambaye akishika mic ni kuongelea tu kuteuliwa na kumsifu aliyemteua???? Au mwingine???😂😂😂😂Acha wajifariji ICC ingekuwa dili M7 na Kagame serikali zao zingepelekwa ICC basi ningeamini ila Kabudi atawazima kama mshumaa .
Huijui teknolojia ya hao ISP mbinu zipo nyingi sio lazima Vpn na sio kweli Tanzania nzima net inazingua la hasha, inshu ni minara tu wanabana wanavyotaka wao kulingana maeneo na unaweza kuta maeneo ya balozi, viwanja vya ndege na Ikulu wanaperuzi bila shida.
Wapi wakati mnawawinda kama swala nyie mashetani?Lema naye awarudishe watoto waje waendelee na masomo!
Tupo teknolojia haindanganyi si utaonaKabudi huyu huyu ambaye akishika mic ni kuongelea tu kuteuliwa na kumsifu aliyemteua???? Au mwingine???😂😂😂😂
WAKILETEWA SAMMONS NA WASIPOENDA AU WAKAAMUA HATUKWENDI HUKO NI NINI KITATOKEA?Siro atulie tu asubirie Safari ya kwenda The Hague , Mhutu kaishamponza na kawaponza wengi sana na ataenda na wengi , wajiandae kupanda ndege yet na kina Mambosasa , Chakubanga .
Mambo gani hayo yapite salama baada ya mauaji kufanyika? Ni Mungu gani huyo anayeruhusu matendo ya kishetani dhidi ya haki za kuishi? Huu ni wakati wa kila mtu kuvuna alichopanda, hakuna namna tena.Naona sky eclat jinsia yake haijulikani.
NB:hebu fafanueni haya mambo ya bahari kuu,
Nani aliona hiyo boti.anaweza kuisaidia mahakama?
Watanzania wenzangu,tuombe MUNGU mambo mengine yapite salama,
Lakini pia tupunguze ujuaji.
Kwahiyo wenyewe wanatumia twitter wakiwa ofisini tu? Hawajichanganyi na watu wengine huko maeneo twitter ilipozuiliwa? Usiwe mpuuzi namna hii dada yangu.Huijui teknolojia ya hao ISP mbinu zipo nyingi sio lazima Vpn na sio kweli Tanzania nzima net inazingua la hasha ,inshu ni minara tu wanabana wanavyotaka wao kulingana maeneo na unaweza kuta maeneo ya balozi ,Viwanja vya ndege na Ikulu wanaperuzi bila shida .
Jiulize vifurushi vya kanda ya ziwa ,au centrel offer n.k kila eneo lina bei zake za vifurushi na offer mbalimbali za ya kwako zinawezaje kubagua wateja kila maeneo pia wanao uwezo wa kujua matuzi yako ya internet na mengine mengi tena mbaya zaidi karibu mitandao yote inatumia mkongo wa Taifa na mmliki Tccl kwa niaba ya serikali kweli watumie VPN ndugu hapo umewaza bila tafakuri sio wote tunatumia VPN kuingia twitter.
Tena wapo walikuwa na vifurushi vya chuo ila walipomaliza chuo na kutoka eneo la chuo vifurushi vyao vilitolewa unadhani wanabahatisha 😀
Mwafaaa, khadijaa, Kama ni mmojawapo katika majina yaliyoko, anza kuweka Mambo ya familia sawa, na nakutafuta mawakili wenye uzoefu, maana utakutana na vifungu vya sheria sio vya dunia ,ICC ni porojo tu, wala haziwezi kumtisha mtu
Mkuu nimecheka sana na jibu lako, Yani mtu analazimisha mpaka watoto wa Lema kurudi shule, da JF Raha sanaKwakua umewalipia ada
Wenda mkuu ni mmojawapo wa kwenda ICC, anaogopa huku anachekaKaribu bi Khadija! Najua umeaminishwa kuwa ukijiunga jf na kuitetea ccm utapata ajira kiulaini! Hivi, inatakiwa kujibu post ngapi kwa siku?
Mama d mkuu si ulishasema mnasubili wito, unakuja sio muda. Mambo mazito Sana haya, sina kinyongo Kama mwa if mwenzangu nauli nitakuchangia, ila hakuna namna mkuu.Kama ICC itakuepo pasi shaka wewe utatangulia huko