bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?π§π
Kuna makosa madogo ukiyafanya madhara yake ni makubwa sana!Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? π«€
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?π§π
Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na myahudi?
Kweli Iran bado mtoto ndogo sana kwenye game.
Kwani ile airforce 1 ina miaka mingapi?Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? π«€
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?π§π
Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na myahudi?
Kweli Iran bado mtoto ndogo sana kwenye game.
Siyo Uzembe chezea Mossad wewee. Kuna branch yao inaitwa Kidon weee (ncha ya mkuki)Kwani ile airforce 1 ina miaka mingapi?
Ajali ni ajali na 95% ya ajali ni uzembe.
Ndio maana ajali yoyote lazima kuwe na uchunguzi.
Ila kwa ajali ya chopper ya rais wa iran ni full uzembe.
Haya Mwamba nimekusoma 'ncha' ya mkuki!Siyo Uzembe chezea Mossad wewee. Kuna branch yao inaitwa Kidon weee (ncha ya mkuki)
ndo umuhimu wa bajeti kubwa na cash harafu viongozi wasasa waendena na nyakati hakuna kizazi kinapenda starehe kama hiki kilichozaliwa mwaka 1978 ambao hiyo chopa ilitengenezwaNajiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? π«€
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote
iSrael haihusiki ni kifo cha rais wa iran. Ikithibitika wanahusika, wallah watalipa.Siyo Uzembe chezea Mossad wewee. Kuna branch yao inaitwa Kidon weee (ncha ya mkuki)
Airforce One ni ndege ya 1980s na ni maalum. Bado huwa inafanyiwa modernization na Boeing na contractors wengine.Kwani ile airforce 1 ina miaka mingapi?
Ajali ni ajali na 95% ya ajali ni uzembe.
Ndio maana ajali yoyote lazima kuwe na uchunguzi.
Ila kwa ajali ya chopper ya rais wa iran ni full uzembe.
Ukiwalipa na wao wanakulipa kwa kitu kizito zaidi. Wameshaangusha chini Majenerali kadhaa wa Iran, alikuwa amebaki Amri Jeshi Mkuu wao tu.iSrael haihusiki ni kifo cha rais wa iran. Ikithibitika wanahusika, wallah watalipa.
Si watengeneze zao? Ujeuri na ubishoo mwingi kumbe wanavaa nguo za kuazima? ππ€£Airforce One ni ndege ya 1980s na ni maalum. Bado huwa inafanyiwa modernization na Boeing na contractors wengine.
Wakati hii helicopter iliyombeba Rais wa Iran ni product ya Marekani ambao wameiwekea vikwazo Iran. Haiwezi kuwa supplied na components wala kuwa serviced na manufacturers. Wala kupata genuine spare parts kutoka kwa original producer haiwezekani. Hivyo hii ngalangala ilikuwa prone to failure, dude la 1970s na services za kuungaunga.
Iran kwa bahati mbaya wanapata sana ajari za ndege sababu ya sanctions. Ikitokea bahati nzuri wakapunguziwa vikwazo najua watanunua ndege za Kimarekani na Ulaya kwa fujo.
Pole kwa msiba kijanaBado hamjakoma tu warudie kuwashambulia?
ni kweli ila kuna ajali zingine uzembe wa binadamu unachangiaSiku mwisho wako hapa duniani ukifika hakuna chochote kinacho weza kuzuia usiondoke , masuala ya ulinzi sijui intelegensia ,cheo umaarufu, pesa hivyo vyote ni taka taka mbele ya kifo.