Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

Unachekesha sana. Nimecheka sana kuona hata nchi ya kiislamu ya Iran bila bidhaa za makafiri hawawezi kuishi. Raisi anadondoka kwenye ndege iliyotengenezwa na kafiri 1978
Dunia ya Mungu, vitu vya mzungu
Ushakimbia kwenye hoja
 
Wanasema wanaakili sana na tukiwabariki na sis tutabarikiwa mlokole anayesema hivyo unakuta hana hata baiskel .Tanzania tunawapumbavu wengi sana
Kwa nini umechagua kuita wapumbavu? Huenda ni wajinga tu ila wakielimishwa wanaacha ujinga wao.
 
Kampuni itakayouzia Iran itawekewa vikwazo. Ikiuza Iran inapoteza soko la nchi nyingine ambazo ndio zingenunua kwa wingi zaidi ya Iran. Hata hivyo China haina VIP transport helicopter ya kuuza
China na utundu wao wote wanashindwa vipi kutengeneza kitu kidogo kama chopper.
 
Back
Top Bottom