Kweli jiji la Dar es salaam leo linahitaji kiongozi aina ya Chalamila? Majukumu ya mkuu wa mkoa ni mepesi hivyo?

Kiboko ya mashoga, wasagaji, wezi, majambazi na wahuni, mlizoea siasa za kupepesana, inawapasa mpewe viongoz wakali watakaowanyoosha, hakuna kuchekewa.

Huo ndio uongozi
 
Elewa kuwa Chalamila anayo elimu kubwa kuliko wewe Resilience mhuni mkubwa kundi la wajinga wanaoijiona kujua kila kitu ilhali ni Zero brain.

Wazee wa visasi mnazidi kupigwa na vitu vizito visogoni....

Yaani wewe na Zitto ni kama mnatamani kujiua vile!
 
Ukiangalia teuzi nyingi za Mama utaona kuwa watu wake wengi anaowateua ni dizaini ya Masanja Mkandamizaji au Steve Nyerere, watu wasioeleweka. Yaani kwao kila kitu wanadhania ni comedy tu, hawa ndiyo watu awapendao mama ili awatawale kiurahisi.
 
Wote ni ubatili! Nothing New from CCM. My mother is clearly wrong!
 
Chalamila kwangu mimi ni kiongizi mzuri, huwa sipendi viongozi wasiopenda ku interact na watu, Chalamila hana hiyo tabia ya kujifungia ofisini.
 
Kwani unamlinganishaje, kwa mfano kama ulikuwepo, mwalimu Nyerere na Samia? Siku hizi uongozi sio lazima uwe na akili timamu, tumeshuhudia vichaa wakiwa kwenye ofisi kubwa za umma
 
Hao viongozi siriasi wa Tanzania ni akina nani? Hauwezi kuwa na viongozi siriasi huku wakiiba pesa za wananchi, wakinunua mabehewa mitumba! Wakishindana kujenga makasri, kununua mabasi na malori! Na kutojiwajibisha, ee Mungu tunusuru tutoke kwenye pepo hili ovu.
 
Utafiti wa kisaikolojia unaonesha kuwa"Watu COMEDIAN wanaakili mno(Witty) kuliko wanaojifanya serius",..google utaniambia
 
Ikiwa failure Bashite kaweza itakuwa wengine?

Kazi za Ukuu wa Mkoa ni "routine works", kawaida sana kama afisa yeyote yule.

Ubunifu unaotakiwa ni usanii wa kujuwa kucheza na media tu.
 
Jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni
 
Ni wivu tu unakusumbua, je wewe ukipewa hiyo nafasi utaweza? Watu gani serious? Akina makalla?
 
Mme shindwa kupambania wabunge wenu mna leta hasira kwenye wateule tena mkuu wa mkoa seriously
 
Shida kubwa ipo Kagera watamkuta ana Mimba huyo mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…