Kweli jiji la Dar es salaam leo linahitaji kiongozi aina ya Chalamila? Majukumu ya mkuu wa mkoa ni mepesi hivyo?

Chalamila ni masters order
Makonda alikua vyet feko na aliweza
Unasema nn ww
 
Makonda ndio mtu mwenyewe alio li weza hili jiji, huo ndio ukweli!
 
Tutajie hao watu serious japo kwa uchache pls! And then we can take it from there!!!
 
Ukuu wa mkoa ni usanii tu, hata teja anaweza kuwa mkuu wa mkoa bila tatizo lolote. Wala usiwaze sana mkuu.
 
Chalamila kwangu mimi ni kiongizi mzuri, huwa sipendi viongozi wasiopenda ku interact na watu, Chalamila hana hiyo tabia ya kujifungia ofisini.
Uongozi ni ku-deliver. Hata kama uta interact na watu na kuamua kulala kwa mwananchi mmoja mmoja kwa zamu, kila siku ya uongozi wako, ni bure. Watanzania wengi hatujui kipimo cha kiongozi bora ni kipi. Kuna wanasema kiongozi anayeongoza kwa amsha amsha ndiyo bora. Wengine wanasema mwenye vituko ndiyo bora. Na wewe unatumia kigezo cha ku interact! Haya yote ni makosa.
 
Ndiyo linamhitaji sana. Wewe unaona DSM ni sehemu ya kuleta RC ambaye yuko principled?
 

Your browser is not able to display this video.

Mwamba ameanza majukumu yake immediately kwa kuanza kuvipaisha viwanda vya TBL na Serengeti vilivyopo mkoani kwake (Dar)
 
Ukuu wa mkoa ni cheo cha kisiasa Bob. Hta wew naweza ukawa mkuu wa mkoa dsm. Nambie yupi unaona angefaa au unataka mama amrudishe makonda??
 
basi huwajui watanzania vizuri, wanapenda zile zero brain
 
Mery Chipungahelo!Dah kweli wewe ligendary

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mimi nimekuja Dar wakati Ngombale Mwiru akiwa mkuu wa mkoa, kipindi hicho bado alikua haitwi Kingunge.
Kipindi kile kuanzia usafiri UDA ,maduka, shule, vyuo, sipitali Hadi butchery zilikua mashirika ya umma yaani chini ya serikali.
Kipindi hicho hakuna eti wenye maduka wamegoma.
 
Dar aliiweza Makonda peke yake, hawa wengine watakuwa wachekeshaji tu, tumpende tumchukie, Makonda pekee ndie aliiweza Darisalaama!
 
Just mention a few ili nasisi tuone kama uko serious
 
Bahati mbaya hukutwambia hao Wakuu wa Mikoa serious walikuwa kina nani. Tungewalinganisha na hao unaowaponda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…