Kweli mapenzi ni uchafu. Wewe ungefanyaje?

Kilichokuchanganya ni vile alikua ana date na watu wawili unaowafahamu otherwise hakuna jipya hapo, chain kwa vijana haiepukiki, hata hao rafiki zako wana babes zao pia, ulifanya busara sana kukaa kimya.
 
Hakika ndugu haya mambo haya.....yafaa uwe na kifua maana watu wanaoonana wakiwa uchi wana mambo mengi sana.....
 
Kuishi kwingi kuona mengi
 
Hamna mapenzi masafi labda ufe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…