Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Huyo ukimuacha nyumbani(vema wakiwa kuanzia wawili),hao wezi labda waje na bunduki.Wanakuua ndani ya dakika kadhaa kulingana na ukinzani wako.π Hawa ni HATAREEE sanaaaaaa Hadi ukuta ufupii anaruka
MaviatuNaumia ila unacheka
HukutaniβTV ilikuwa HUKUTANI eeh?
KINGINESijaanza kuibiwa leo .Ila sio aliyekuwa JF anaishi maisha ya kiafrika angalia mada zangu kwanza alafu naweza kwenda dukani leo kununua wamaenifunza wezi.Ndio nikawajulisha hapa
Tunaishi kushukuru mungu sana kwa kila jambo ndio maana tunajulishana hapa JF kama ndunguKINGINE
UKIAMKQ MWOMBE MUNGU AKULINDE
MSHUKURU.MUNGU KWA ULINZI WAKE
MM NA SHEMEJI NDUGU SWALA 5 ILA N MWIZI KAACHA 2018
YAAN TOKA 2010 ARUSHA HAKUNA ASIEMJUA
AKIPITA NA GARI LA MSHAHARA LA WATU UKISIKIA WAWILI WAMEKUFA YE HAYUPO
UKIENDA KWAKE IJUMAA MSIKITNI...ZILE SHEREHE ZETU WEWE UTAMPENDAAAAA
NN MANAKE
HATA HAWA MAJAMBAZI HUWA WANAMOMBA MUNGU AWASAIDIE KAZINI KWAOOO WAKIKUTA NA WEWE KIDOGO UJAWEKA ULINZI WA KIROHO WANAKUPITIA VIZURI SHEHE
Amen mpendwaaTunaishi kushukuru mungu sana kwa kila jambo ndio maana tunajulishana hapa JF kama ndungu
Wewe ni Me au KeSijaanza kuibiwa leo .Ila sio aliyekuwa JF anaishi maisha ya kiafrika angalia mada zangu kwanza alafu naweza kwenda dukani leo kununua wamaenifunza wezi.Ndio nikawajulisha hapa
Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka.
Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Ni HATAREEE sanaaaaaa yaan sio mchezo kabisa kabisa.Huyo ukimuacha nyumbani(vema wakiwa kuanzia wawili),hao wezi labda waje na bunduki.Wanakuua ndani ya dakika kadhaa kulingana na ukinzani wako.
Hapo nimeelewa na Pole sana mamiiKwani wewe ke tuanzie hapo
Tupia picha ya maviatu tuoneKwani wewe ke tuanzie hapo
Mbwa wa wema ni mbwa wa nyama.Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka.
Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Inategemeana na TV yenyewe mkuu sio zote wahuni wametoa TV zina bei ya hatari hizi za 2025/26 model..Anaweza kuwa na bei kubwa zaidi ya TV.
Pole sanaLeo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka.
Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
TV zetu huku mtaani tunazijua wenyewe.Inategemeana na TV yenyewe mkuu sio zote wahuni wametoa TV zina bei ya hatari hizi za 2025/26 model..
Wahuni wanatumia TV nzuri kuliko maelezo pana dogo mmoja nilimkuta ana mzigo wa 2025 nikasema nyi mapimbi vitu vizuri mnavijua ndio maana mnasotewa TV na Sub woofer/Sound bar ya JBL 5.1 dogo anafungia na kufuri sehemu aliyopanga Arusha nilicheka sana akisema kaibiwa unaweza kuweka picha ya hizi za kwetu kumbe kavuka mto..TV zetu huku mtaani tunazijua wenyewe.