Sawa. Tz kuna G wagons,Ferrari, Lambo etc ila magari yetu tunayajua.Wahuni wanatumia TV nzuri kuliko maelezo pana dogo mmoja nilimkuta ana mzigo wa 2025 nikasema nyi mapimbi vitu vizuri mnavijua ndio maana mnasotewa TV na Sub woofer/Sound bar ya JBL 5.1 dogo anafungia na kufuri sehemu aliyopanga Arusha nilicheka sana akisema kaibiwa unaweza kuweka picha ya hizi za kwetu kumbe kavuka mto..
Sio kweli bhana watu wanatumia vitu tofauti na vizuri bhana hii kauli ilikua miaka ya zamani sio sasa hivi..Sawa. Tz kuna G wagons,Ferrari, Lambo etc ila magari yetu tunayajua.
Sawa.Sio kweli bhana watu wanatumia vitu tofauti na vizuri bhana hii kauli ilikua miaka ya zamani sio sasa hivi..
Sijui lijamaa la maviatu alivorudi imekuwaje...naona mleta mada kawa banned. Akirudi atupe mrejesho...haha haaaaAngel Nylon umemuona jamaa yako kakomaa na likijana la maviatu na mbwa wa wema sepetu
Dduuh hatari sana...me mbwa hapanandio walimpeleka kaburni mzee kingunge, hawana utani.. Kabla hujawafungua lazima uwaangalie mood yao ya siku hiyo tofauti na hapo kinaweza umana 😅😅
Hivi ni Me au KeSijui lijamaa la maviatu alivorudi imekuwaje...naona mleta mada kawa banned. Akirudi atupe mrejesho...haha haaaa
Usisahau maviatu na CCTVDduuh hatari sana...me mbwa hapana
'Hukuta' na umeme unatosha kwa ulinzi
Cctv na alarms zipoUsisahau maviatu na CCTV
Ni me huyo...huoni majibu yakeHivi ni Me au Ke
Siyo ke?Ni me huyo...huoni majibu yake
Hadi wamemlamba ban
Hivi unajua kuandika kunaponza wengi? Hususan vijana. Utamuona mtanashati mweleze akuandikie jina lake. MtihaniHivi unajua hhataumiliki ukwasi namna gani ..umesoma na kusoma tena ukiwa huwezi kuandika lugha fasaha hakuna atakaejali ukwasi wala elimu yako utawekwa kundi la vilaza waliokimbia elimu ..unaonekana jinga kabisa
Umeme wa kizima inakuwaje ?Dduuh hatari sana...me mbwa hapana
'Hukuta' na umeme unatosha kwa ulinzi
huyu wema sepetu ulimpa chakula kabla ya kwenda church?Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka.
Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Umeme hauzimwi muda wote ati...'hukuta mrefu na waya juu ndio wataparamia! Basi wana usongoUmeme wa kizima inakuwaje ?
Mkuu 🙌😅Siyo ke?
Ulikua na manunu,nasikia hivyo vi mbwa kazi yake ni kulamba vis..m na sio ulinzi,pole sanaLeo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka.
Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
No ikiongezee kimoja, kuna automatic spray ( ya pili pili ) ili ilipiga mtu hatoboi lazima azimie. Tulikuwa tunazifunga maeno sensitive hizi kama ulinzi wa ziada baada ya electric fenceUmeme hauzimwi muda wote ati...'hukuta mrefu na waya juu ndio wataparamia! Basi wana usongo
Ila vibaka wakiona umeme wanaogopa kwa kweli. Unasaidia kwa asilimia kubwa
Duh,Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani
Wamaanisha kambwa jamii ya vile vya kulamba kiharage na kukojoza?na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka.