Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Shida siku hizi heshima ya utu inapimwa kwa aina ya kazi unafanya.

Mimi ndio maana mtu akiniuliza nafanya shughuli gani namuuliza nikikutajia kazi gani utanipa heshima kubwa ili anitajie nimwambie anipotezee sitaki mazoea
Umenifurahisha sana mkuu
 
Shida ya Maafisa usafirishaji ni ipi? Kipato? Ukware?

Ila JF kumejaa wanafiki.

Walewale waliounga mkono kauli ya kuwa bodaboda si ajira ni laana ndiyo haohao wanahoji katazo la huyo Mama!

Nani anataka bintiye aolewe na aliyelaaniwa?
 
Pinga kwa hoja tafadhari.
Hakuna kazi isiyo kua na risk ila zinazidiana kiwango cha risk. Pia tambua sana hata akiolewa na mwanaume anae mfungia ndani kama dhahabu kuwa mjane ni pale pale maana tunatembea na kifo. Swala la kuishi mjane au simjane ni la Mungu muda ukifika haijalishi aina ya kazi au wewe ni nani utakufa tuu kwanjia Mungu aliyopanga kikubwa ni kuomba Mungu atupe mwisho mwema saa ikifika
 
Tuache kujifariji.

Bodaboda anafanya kazi yake akiwa ktk risk kwa 90% KIFO na 85% MAJERUHI.

Ajali nyingi hapa Tz zinahusisha bodaboda hivyo ni kazi inayosababisha Ajali nyingi zaidi kuliko kazi yoyote ile.

Vifo vingi vinavyotokana na Usafiri basi ni Bodaboda kahusika.

1. Bodaboda asipokufa kwa AJALI atakufa kwa kupigwa na wezi.

2. Boda asipokufa kwa Ajali na kupigwa na wezi basi atakufa kwa magonjwa hasa ya upumuaji, au Maradhi ya ngono (ni kawaida kupewa Mbususu kama mbadala wa fedha) Bisha katika hili.

Mie nimekujibu kwa facts tupu na sio HISIA za kinafki.

Hiyo sio kazi ya kufurahia pale Mpendwa wako akiwa anaifanya, muda wowote VAR inasoma kaburini.
 
Umekosea sana kaka kudharau kazi ya boda boda..kuna watu wanazuga tu huko na wengine ni ajira yao rasmi..as long as ni kazi halali hakuna shida mkuu,mwisho wa siku mapenzi ni makubaliano ya watu wawili..
 
Back
Top Bottom