Kweli nimeamini, ukimfadhili mwanamke usitegemee kwamba atakuja kukusaidia wakati wowote

Ni suala la muda tu.
Hako kakibarua kake kakiyumba tu atakuja kuhitaji booster toka kwako.
They are shameless
Mara nyingi huwa inakuwa hivyo. Wataalamu wanaita karma. Ila Mimi simuombei mabaya, afanikiwe na kuwa msaada kwa wengine.
 
Mungu atakulipa mkuu
 
Kamwe usimuonee huruma Mwanamke labda Mama yako

 
Mfadhili kwa upendo tu,kama ni pesa wewe mpe tu at your own risk..
 
ukitenda wema unajiwekea hazina, nliwahi pata changamoto kubwa ya kimaisha ila nkaja saidiwa na mtu ambaye hatufahamiani kabisa, kokote alipo yule bidada na mmewe Mungu awabariki sana,
 
Nyie ndio huwa mnacheza cheza tukiwa kwenye vikao. Tulishasema hakuna kusaidia mwanamke.
Akikuacha kwa sababu hajapata pesa kwako aende akafanye biashara mahali pengine. FULL STOP
 
Nyie ndio huwa mnacheza cheza tukiwa kwenye vikao. Tulishasema hakuna kusaidia mwanamke.
Akikuacha kwa sababu hajapata pesa kwako aende akafanye biashara mahali pengine. FULL STOP
Itakuwa hivyo vikao sijawahi kuhudhuria..πŸ˜„
 
Kuomba kwa sms kiasi hicho hata we mwenyewe hukua na uhakika plus aibu kumface na kumwambia shida yako,japo hata kwa kumpigia.
Sms za watsap hata zikipigwa tiki mbili za blue,haigarantii kaiona..
Cha msingi usimhukumu kwa kuwa hata upande wako kuna mambo ya msingi hukufanya.
Pole mkuu,Tenda wema nenda zako

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Mtu wa namna hyo kaa nae mbali sana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ungekuwa ulimsaidia bila kuwanae kima penzi tu lazima angekusaidia nawewe ukitaka Kula pesa ya mwanamke husiwe mpenzi wake ila muwe marafiki kama ndugu wa damu hapo ukimuomba msaada anakupa lakini kama mlikuwa wapenzi husitegemee kupata pesa zake, fikra zao wakikupa pesa unaenda kuhonga tu kwa wanawake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…